steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,182
- 1,596
amesha wapata.tayaliHapo kwenye pesa hapati followers watanzania wanavyopenda dezo acha tu
amesha wapata.tayaliHapo kwenye pesa hapati followers watanzania wanavyopenda dezo acha tu
Including u,kwani wewe unalipia hapa?Hapo kwenye pesa hapati followers watanzania wanavyopenda dezo acha tu
Achana na hawa waswahili wambea hawana kazi.kazi yao uzushi na kuidharau nchi yao ili hali maisha yao wanategemea nchi hiiHUYU NI NANI?????????





No commentamesha wapata.tayali
Achana na hawa waswahili wambea hawana kazi.kazi yao uzushi na kuidharau nchi yao ili hali maisha yao wanategemea nchi hii
Samahani, una undugu na Bashite??Hivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Mbona siku hizi ndio amepotea.Hivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Watu wa ajabu wanapatikana wapi?NI KWELI KABISA MKUU,MM NAWAONA WATU WA AJABU SANA.
Ndo nakwambia sasa mwanaume acha kujihusisha na kina Mange unaonekana choko. Nipe mfano wa habari moja tu toka kwake yenye mashiko
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Nimeingia kwenye page yake nimekuta amewwka tangazo la Apps yake nikaenda Playstore nikakuta hiyo Apps ipo nimejisajili ila sasa inakubidi uwe na dollar moja kwa kuweza kupata subscription kwa mwezi nikaishia hapo labda hiyo ya tigo na mpesa ndo atatupata watanzania waliowengi ila kutumia visa au madtercard tunaogopa kukombwa vipesa vyetu!
Pia nimshauri picha aliyoiweka ike ya pink aibadilishe
Nanimeona pia mangekimambi daily ile amesema siyakwake.
Nimtakie kila la heri.
Hadi mkuu wa nchi follower wake.Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
Kamuulize mjomba wako Magu anajua vzr huyu mpare, hakopeshiHivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Haukutakiwa kutia neno hapo mkuu kwenye huo upuuzi maana wanaweza kukuchakulisha nawe mkuu.Mwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.