Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Namjua ila simfuatilii na wewe kama mwanaume nakusihi achana na kina Mange. Hebu toa mfano mmoja tu wa story yake yenye mashiko, hivi Ndo huyu alisema Kinana katoka CCM?
Zipo nyingi ikiwepo ya bashite, na hyo uliyitaja
 
Naona ' njaa ' sasa imeanza kumtafuna huko aliko Los Angels nchini Marekani. Na ni kupitia hizi hizi ' njaa ' zake ndipo atakapowarahishia Kazi ' wanaomsaka ' na yawezekana Yeye anaweza kudhani labda sijui Mume wake kaamua kumpokonya Watoto wake ila kumbe nyuma ya pazia tayari ' Mafia ' wameshafanya yao ni suala la muda tu wanaweza kufanya yao. Dunia ya leo siyo ya ' Kujiamini ' na ' Kuamini ' Watu hivyo na uzuri au ubaya ni kwamba karibia 99% ya wanaofanikisha Wewe kupatwa na ' matatizo / majanga ' ni hao hao Marafiki zako / Watu wako wa karibu unaowaamini.
Unaipaka matope system kwa mambo ya dhahania.

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app
 
Suala la kutoa pesa ni tofauti na kumfuatilia mtu. Binafsi nafuatilaga page yake lakini kuchangia hajanishawishi hiyo pesa inakuwa haipo ktk mzunguko wa Tz.
Pia huyu mdada amesha kuwa na mawazo ya mi USA kuwa whistle blowers wanatungu go fund me na wanapata pesa, ba serikali ina toaga tax relief iwapo unalenga nchi za 3d world. Nafkiri anampango wa kupiga ela kwa style hiyo. Lakini bado kumfuatilia mtu kapost nini si uchakula kama mtu mmoja anavyo dai. Kumchangia mtu ni hiari.
 
Na wewe unaamini Kinana hayupo tena CCM!! Mbuzi kama nyie Ndo anaowadaka hadi mnamchangia
Lumumba si huwa ni wabish mpka yawafike ndio mnaamini, kama kule arusha mnaongea vitu havieleweki .hahhah et kwenye msiba wawatoto nyie ndio mlikuwa wengi uwanjani hahaha dah mnaleta siasa msibani
 
Unaipaka matope system kwa mambo ya dhahania.

Sent from my GT-I9060 using JamiiForums mobile app

Kuna system gani nimeipaka matope hapo? Hivi kumbe ' Mafia ' nao huwa ni System? Jitahidi upunguze kidogo ' upumbavu ' ulionao Kichwani na kwa taarifa yako tu huyu Dada sasa hatafutwi tu na hao unaowahisi Wewe sasa vita yake imeingizwa hadi kwa ' Drug Barons ' ambao wengi wao ndiyo huwa ' Mafia ' wakubwa na ndiyo hao Mimi nilikuwa nawalenga. Ninapokuwa humu JF huwa najua nafanya nini kwahiyo acha na ukome kabisa kunilisha maneno tafadhali. Nimemaliza!
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Anaeleweka vizur lakin ukijilazimisha kutokumwelewa hutamwelewa hata iweje huenda kuna ni we au kuna nduguyo anaguswa ktk taarifa zake ndo mana unajilazimisha kutokumwelewa
 
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Kamaa wewe ulivyo mboga mlendaa Kama (dab)
 
Back
Top Bottom