Mange awalipua wauza unga

Mange awalipua wauza unga

Lakini juzi waziri si alisema wanakamatwa kimya kimya........?.....ukitajwa tu wanakung'ang'ania........Ngoja tuone nini kinafuata.........

Kwa hiyo ishu ni kutajwa tu?

Hata kama sina ushahidi, nikikutaja wewe Preta ni muuza unga wa Yaeda chini na juu, basi, unang'ang'aniwa?
 
Ushahidi nenda vituo vya mabasi kinondoni uone mateja wanavyobembea au muulize Chid Benz atakuambia nani alikuwa anamuuzia
chid alikua anauziwa na street dealers, na ushahidi ninaouzungumzia ni kuhusu kama hao aliowataja ni wauzaji , usiwe punguani
 
Kwa hiyo ishu ni kutajwa tu?

Hata kama sina ushahidi, nikikutaja wewe Preta ni muuza unga wa Yaeda chini na juu, basi, unang'ang'aniwa?

Walisema hivyo.....ilinipasua kichwa sana kukumbuka wabaya wangu.......maana imeshakuwa tabu sasa.......
 
Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.

Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.

Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
Makamba alishinda Eeh?
 
Kitokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.
Note: Magu anza na hawa waliotajwa maana kama Iddy Azan hii ni mara nyingine anatajwa.
1bd61eacff3fa4803b57349d4ea8be9f.jpg
Kinje ni official drug dealler
 
Upelelezi uanzie hapo, yeye katoa mwanga tu,labda tu nikuulize dada yangu hivi nchi hii yenye jeshi la polisi lenye inteligensia kali limeshindwa kuwakamata wale mateja waliotapakaa pale Manyanya Kinondoni na kuwalazimisha kutaja wanakochukulia madawa??????

Mateja hata bila ya kuwalazimisha wanataja. Polisi wanajua mbinu zote lakini kijana uelewe kuwa unga ni biashara kubwa na ya hatari duniani. Ina fedha nyingi sana za haramu ambazo ndizo kikwazo kikubwa katika kupambana na hii biashara.

Njia pekee ya kupambana na biashara ya unga na rushwa ni kuwa na elimination squad ya siri. Njia hizi za kuwashika na kuwapeleka mahakamani hazisaidii kitu. Wapo wanaofanya hizo biashara wakiwa ndani ya jela.
 
Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
mwehu tu huyo kama wehu wengine,kutemwa ccm ndio ana hasira nao.aje upinzani atupe madini tuyatumie kuivuruga ccm
 
Mateja hata bila ya kuwalazimisha wanataja. Polisi wanajua mbinu zote lakini kijana uelewe kuwa unga ni biashara kubwa na ya hatari duniani. Ina fedha nyingi sana za haramu ambazo ndizo kikwazo kikubwa katika kupambana na hii biashara.

Njia pekee ya kupambana na biashara ya unga na rushwa ni kuwa na elimination squad ya siri. Njia hizi za kuwashika na kuwapeleka mahakamani hazisaidii kitu. Wapo wanaofanya hizo biashara wakiwa ndani ya jela.
hayo yote kawambie ndugu zako wa ccm.yaani wauza unga tanzania wawe na nguvu kuliko serikali??ni ujinga wa kiwango cha std 1.chifupa mulimuua kwa nini??ccm jinga kabisaa
 
Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.

Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.

Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.

Najiulizakwa nini majina ya aina fulani ndo wauza madawa tu....Wagalatia hawajui deal za kuuza madawa nini...
 
hayo yote kawambie ndugu zako wa ccm.yaani wauza unga tanzania wawe na nguvu kuliko serikali??ni ujinga wa kiwango cha std 1.chifupa mulimuua kwa nini??ccm jinga kabisaa

Nijuavyo Chifupa na aliyekuwa mumewe wote walikufa kwa ukimwi. Wewe kama unajuwa zaidi, polisi zipo wazi, peleka mashtaka yako huko.

Kuhusu CCM ngoja nikuulize, mama'ko na baba'ko (kama unamjuwa) hawajawahi kuwa CCM?

Isitoshe, athari za unga hazijui chama.
 
mange ni mwehu tu wakupuuzwa..wanaomuamini watakuwa mataahira
 
Ila mange kadata khaa...yule Nnsembo hakosagi ktk list yake, kisa ana bifu na mke wake!...yaani kifupi ukikorofishana kidogo na Mange ujue kesho yake unalipuliwa kuwa muuza nganda
 
haaaa ila huyu rummy anajidai ana hela kumbe anapga pga picha na shetta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom