Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Sijawahi ona Mchepuo wa Kiswahili tuHupendi?
Sijawahi ona Mchepuo wa Kiswahili tuHupendi?
nimewauliza,kumbe wewe ni ndugu wa damu.tena foxy yule mbwa wetu aliyepewa hilo jina kumbukumbu ya wewe kutoroka kijijini.tena ccm ilikuchukua mwenge ulivyokuja.rudi kijijini wewe.Mpe hi Dj mbowe wetu.PEOPLES POWER,PEEEEEEEEEEEEEEOPLES POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER.mpaka kieleweke
yaishe dada,asubuhi njeWakakujibu nini?
CCM inakufanya uisome namba maana imekukaa rohoni, nnajuwa ni sababu ya kulelewa na bibiyo mzaa mama ambae ni CCM asili.
ma.tunajenga nyumba moja kwa nini tugombee fito?asubuhi njema sana.Wakakujibu nini?
CCM inakufanya uisome namba maana imekukaa rohoni, nnajuwa ni sababu ya kulelewa na bibiyo mzaa mama ambae ni CCM asili.
Sijawahi ona Mchepuo wa Kiswahili tu
Tatzo la wajinga wao ndio hujiona wajanja, kumbe bogus!! Kwahiyo kiswahili kitaendeleza Tz kivipi?Ulianzishe wewe ujisute wewe.
Kwa watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana.
Tatzo la wajinga wao ndio hujiona wajanja, kumbe bogus!! Kwahiyo kiswahili kitaendeleza Tz kivipi?
punguwani wahedHuyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.
Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
Siku moja ataacha haya matusi inasikitisha sana.Hivi unawezaje kutukana hivyo mtu mzima bola kufikiria impact yake....??Aisee Mungu yupoMange amemtukana Ritha Mlaki utadhani hajawahi kuwa na Wazazi
Mkuu nimeogopaSiku moja ataacha haya matusi inasikitisha sana.Hivi unawezaje kutukana hivyo mtu mzima bola kufikiria impact yake....??Aisee Mungu yupo
Hapo kwenye ukada wa CCM mimi mmmmm!!!!!????? maana niliona clip moja akiichoma moto kadi yake ya CCM.Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu