Tangu Alivyo Buma Katika Sakata la Makamba,Nishampuuza Huyu Domokaya!
Unajuaje kama ilibuma? Kama walimalizana utajuaje?
Tangu Alivyo Buma Katika Sakata la Makamba,Nishampuuza Huyu Domokaya!
A Tanzanian citizen, kwa hiyo ukiwa Tanzania citizen ndio ukawaandike watu mtandaoni ukiwapa tuhuma serious kama hizi bila maelezo yoyote ya ushahidi na watu wakuchukulie serious? watu hawajielewi, huyu ni wa kupuuzwaShe is Tanzanian Citizen.
Nilidhani unataka kujua tu ni nani?? lol.A Tanzanian citizen, kwa hiyo ukiwa Tanzania citizen ndio ukawaandike watu mtandaoni ukiwapa tuhuma serious kama hizi bila maelezo yoyote ya ushahidi na watu wakuchukulie serious? watu hawajielewi, huyu ni wa kupuuzwa
who is she to say who is who?
i asked who is she to say who is who? you get that?Nilidhani unataka kujua tu ni nani?? lol.
mfuatiliaji wa habariWho are you to know who is she?
Who are you to ask who is she?who is she to say who is who?
Wee unataka ushahidi gani?unataka mpaka wakamatwe nao mkononi?wao hawauzi kwa kutembeza ila wana vijana wao wanaowatuma.na hao vijana wameshakamatwa sana na wakawataja mabosi wao ila serikali inawaogopa.Hawawezi kuchukuliwa hatua bila kuwa na ushahidi wa kutosha mengine ni majungu mtu akikuchukia basi
Ungetaja hao waliokamatwa na kuwataja basi maana vinginevyo ni majungu tuWee unataka ushahidi gani?unataka mpaka wakamatwe nao mkononi?wao hawauzi kwa kutembeza ila wana vijana wao wanaowatuma.na hao vijana wameshakamatwa sana na wakawataja mabosi wao ila serikali inawaogopa.
Sana sana mtaambiwa wote hao wameshadakwa kimya kimya; wengine wanatumbuliwa laiv lakini hao ni kimya kimya jiulize kuna nini hapoNani wa kufunga paka kengele? ile orodha aliyopewa JK ilipotelea wapi?
Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
tatizo lako bhado mtoto mdogo.haujakuwa.na hauijui hii nchi.kuna mtoto mmoja wa mkubwa alikamatwa na unga china baba yake akapanda ndege usik usiku kumuokoa,kuna mnafanya kazi mkubwa wa airport ana husika,sitaki kutaja majina maana hawachelew polis wenu kutafuta information za watuUngetaja hao waliokamatwa na kuwataja basi maana vinginevyo ni majungu tu
tatizo ushahidihao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
Hayo ndiyo majungu sasa ukisikia maana wewe ndiyo mtoto na hizo ndiyo hadithi mnazojazwa ujinga bila ya kutafakari na wewe unakubali.tatizo lako bhado mtoto mdogo.haujakuwa.na hauijui hii nchi.kuna mtoto mmoja wa mkubwa alikamatwa na unga china baba yake akapanda ndege usik usiku kumuokoa,kuna mnafanya kazi mkubwa wa airport ana husika,sitaki kutaja majina maana hawachelew polis wenu kutafuta information za watu