Mange awalipua wauza unga

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,089
1,297
Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawachana live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.
Note: Magu anza na hawa waliotajwa maana kama Iddy Azan hii ni mara nyingine anatajwa.
1bd61eacff3fa4803b57349d4ea8be9f.jpg
 
Kitokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.
Note: Magu anza na hawa waliotajwa maana kama Iddy Azan hii ni mara nyingine anatajwa.
1bd61eacff3fa4803b57349d4ea8be9f.jpg
[/IMG]
hao wanatajwa sana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa
 
kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
 
mjinga wewe atoe ushahidi afe??hapa ndio wakati mzuri wa serikali kufanya uchunguzi wa kina.wapi AMINA CHIFUPA??
 
Haya majina ya mange ni cha mtoto jk alisema awataja nchi itatikisika anajua ukitaka kukomesha hii biashara anza kupambana Na mwenyekiti biashara yao Na hao ndio rais alisema nchi itatikisika kwa viongozi hawa Wa ccm ndio wanalolipoteza taifa kila sehemu
 
Huyu ya akina Makamba yalimshinda kaanza mengine.

Sasa nnahisi huko aliko yuko so bored na ana wehu wa aina fulani.

Hata kama ayasemayo yana ukweli basi bila ushahidi? Yaani utumbo aliouweka angeongezea na maini kidogo, nyama kidogo.
 
Kiujumla tu mkuu mimi sijafanikiwa kufahamu huyu Mange ndio nani, mwanamziki, mcheza filamu, mwanasiasa au tycoon flani?
Honestly, I dont know this person.
Kukurahisishia,huyu ni dada wa mujini enzi hizo alikuwa anadeal na mambo ya mamiss,ni muke ya muzungu huko LA pia,mama wa watoto watatu,kada wa ccm pia etc etc wasifu wake tunaweza jaza page kwa uzuri na ubaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom