Mange awalipua wauza unga

Mange awalipua wauza unga

kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu
TOA USHAHIDI UPOTEZE MAISHA, AU KAA KIMYA UISHI KIPI BORA?
 
Bado cjaona Ushahid hapo ni Fununu tu, Hivi na mie nikitajwa hapo it means nauza Sembe.? Toa vielelezo na Ushahidi then ripoti Interpol coz tatzo la madawa lina affect Dunia nzima hivyo akiwa na vielelezo juu ya watajwa hapo juu basi upelelezi utaanza kuanzia wanapotoa mzigo ili mizizi ikatwe na sio Propaganda za Kimbea Mbea tu..

Hivi hadi huko Ulaya kuna watu hawanaga kazi kumbe.? Trump Rudisha hao kubaff sana
 
kuwataja bila ushaidi ni sawa na kupga kelele tu umu..kama ana ushaidi auweke wazi watu tutajua kweli upi ila kwa hizi kelele mtu akikupga gap la maisha ghafla basi anauza unga hatuwezi fika..mm hayo majina siku zote nayaskia tu ila cjaona hatua zozote zaid naon ni kama wivu tu

kazi ya polisi ni kutafuta ushaidi sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom