Kodo dyako
JF-Expert Member
- Nov 18, 2025
- 318
- 409
Mange wakati mwingine msenge sanaUjue mimi sipingi harakati hizi
Shida ni watu kumuamini mange kwa kila kitu
Huyo dada anajua sana kutengeneza agenda hapa anawajaza upepo male Shaba
Alisema 29 tokeni wajeda wapo kuwalinda na matokeo yake watu wamekufa kama njugu.
Tuamueni kwa akili yetu sio ya Mange