Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

Mange sometimes anatuchota tu na propaganda zake za kipuuzi
 
Hii kitu ni kweli Kuna mjeshi alimpiga risasi askari pale Ubungo baada ya askari kumshoot dada mmoja aliyekua anatoka saloon akikimbia akajihifadhi
Mkuu hii umeshuhudia mwenyewe?
 
Mkuu hivi vifo vimekufurahisha sana sio.

Sasa taarifa mbaya na ya kuchekesha kuhusu kifo, pamoja kwamba chenyewe ni kifo ila kipo hai. KINAISHI.

Yule mtoto mchanga aliyetandikwa risasi ungeweza kuwa wewe lakini Mungu akakuepusha ili upate nafasi ya kutubu.

Endelea kutamba na kiburi cha uzima.
Mkuu kuna sehemu nimeongelea mtoto hapo?? Je kuna sehemu Mange kaongelea mtoto?? Je hii mada imeongelea watoto??

Unaijua tofauti yako wewe na Mange na Maria, Mwaipaya, Hilda nk??

Nikufungue macho...

Unachokiona kwao usidhani hili limewaumiza kiasi hicho Kiongozi je ni sahihi kufanyia Propaganda vifo vya watu?? Kuna picha ngapi za watu majeruhi na maiti Je umeona ngapi za askari??
 
Mkuu hivi vifo vimekufurahisha sana sio.

Sasa taarifa mbaya na ya kuchekesha kuhusu kifo, pamoja kwamba chenyewe ni kifo ila kipo hai. KINAISHI.

Yule mtoto mchanga aliyetandikwa risasi ungeweza kuwa wewe lakini Mungu akakuepusha ili upate nafasi ya kutubu.

Endelea kutamba na kiburi cha uzima.


Magnifico unakumbuka ule uzi niliokuwa nasema watu watulie wawaonee huruma watoto wao na wanawake zao kwa sababu ni waathirika wakubwa wa machafuko yanapotokea. Ulinijibu sijui watu wametekwa nikasema mitihani hiyo sio sababu ya kuvunja amani.

Umeona sasa?

Amani ikivunjika watu wengi wasio na hatia wanapatwa na madhara.

Sitaki kukusimanga wala kuwasimanga watu, ila nataka kukuzindua, tutafakari na tujifunze sote madhara ya kufungua milango ya fitna, fitna hiyo ikija inamkumba aliyehusika na asiyehusika. Kuweni na subra, amani ikivunjika madhara yake ni makubwa kuliko yale mnayotaka kuyaondoa. Sio katika akili salama kutaka kuondoa madhara kwa kusababisha madhara makubwa zaidi kuliko unayodai unataka yaondoke.

Waoneeni huruma watu wasio na hatia yoyote. Tulieni.

Tulieni jamani.
 
Mmh!

Ingelikuwa ni hivyo basi ile lockdown isingeisha na sasa tungekuwa kwenye machafuko
Hili la polisi wengi kufariki ni kweli. Jaribu kuchunguza polepole. Mimi nilisikia kutoka kwa mtu wa kuaminika mara baada ya maandamano nikadhani waliuawa na waandamanaji. Check na mtu aliyekuwa ''site'' Arusha au Dar!
 
Ujue mimi sipingi harakati hizi

Shida ni watu kumuamini mange kwa kila kitu

Huyo dada anajua sana kutengeneza agenda hapa anawajaza upepo male Shaba

Alisema 29 tokeni wajeda wapo kuwalinda na matokeo yake watu wamekufa kama njugu.

Tuamueni kwa akili yetu sio ya Mange
 
Kumuamini Mange ni dalili ya utaahira. Sasa hivi anawaambia mpange sehemu ya kukutania wakati yeye akiwa Santa Monica, Los Angeles.
 
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Anadai ndiyo unamsemea wewe eti,acha kihelehele
 
Kumuamini Mange ni dalili ya utaahira. Sasa hivi anawaambia mpange sehemu ya kukutania wakati yeye akiwa Santa Monica, Los Angeles.
A Good leader should say follow me, and lead with example. Hii ya kujazana upepo kutoka LA Marekani, ili utumie picha zangu za kumwagwa ubongo kwa faida zako, it doesn't work.
 
Kama huyu
20251123_103259.jpg
 
Back
Top Bottom