100%Hilo fala nishali ignore sionagi upuuzi wake linaopost.
100%Hilo fala nishali ignore sionagi upuuzi wake linaopost.
Confirm this mkuu.Ya ni kweli kabisa wala hajakosea
Lazima umuamini kwani tangu lini nyumbu mkatumia akili zenu? Nyie akili zenu si mmeweka kabatini mnatumia za mange na Maria sarungi
Don't confuse us,Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Nyumbu hawana akili siku zote, wanaweza kumuona mwenzao analiwa na mamba ila baada ya dakika 1 wanajisahau wanafikiri mamba ni gogo linaelea kwenye maji wanajipeleka na wao wanaliwa.Lucha, nyumbu wamekukosea nini?
I do not mkuu.Don't confuse us,
uwe na huruma kwa wananchi wenzakoNyumbu hawana akili siku zote, wanaweza kumuona mwenzao analiwa na mamba ila baada ya dakika 1 wanajisahau wanafikiri mamba ni gogo linaelea kwenye maji wanajipeleka na wao wanaliwa.
Kwahiyo ndo akili za hawa wazee wa jeshi liko upande wetu na nyumbu zinafanana
Itoshe kuishia hapo kwamba unamuaminiHabari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
Hundred percent mkuu.Itoshe kuishia hapo kwamba unamuamini
Machoko kama hao mkuu usipoteze muda kuwajibu mkuu just ignore them.uwe na huruma kwa wananchi wenzako
Amtumie SMS?Em mtumie ka sms saiv umuulize kuhusu hii issue mkuu.
Natumai wewe ni mmoja waoLazima umuamini kwani tangu lini nyumbu mkatumia akili zenu? Nyie akili zenu si mmeweka kabatini mnatumia za mange na Maria sarungi
Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.