Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,870
- 7,347
- Thread starter
- #41
Yajayo yanafurahisha.Hivi mpaka Mange akwambie kwamba kuna baadhi ya askari polisi na wanajeshi walikufa ndiyo uamini? Watu walikuwa field wameona vifo vya hao askari polisi na JW na kuna baadhi ya rafiki zetu wamepoteza ndugu zao ambao ni askari...Kwenye machafuko kama yale ni lazima kuna baadhi ya raia wafe na askari pia lazima wafe.
Na D9 ,Gen Z wasipoctoka kwa kujipanga kwa mapambano wakaenda kizembe kama Mo29 aisee watakula njugu na hiyo itakuwa triple masacre.