Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 492
- 970
Wagapi walikufa?Uyo msemaji wenu wa serikali batiri kashasema eti police walikufa pia.
Wagapi walikufa?Uyo msemaji wenu wa serikali batiri kashasema eti police walikufa pia.
Ni kweli alJazeera kwenye ile habari yao alionekana polisi mmoja amepigwa na wananchi hakika yule alikufaUkiangalia video walizorusha Aljazeera na Citizen Tv ya Kenya kuanzia tar 30 Oktoba 2025, kuna askari kadhaa wenye sare za FFU wanaokana wamelala kifudifudi wakipigwa na raia. Hope ilikuwa ni Tunduma mkoani Songwe.
Kumbe hali ni mbaya kiasi hiki.[emoji1317][emoji1317][emoji44]View attachment 3506415
Du wapi hiyoKuna sehemu ndio ni kweli wanajeshi waliwalenga askari baada ya askari kuwalenga raia, binafsi nilishuhudia askari polisi akilambwa makofi na MP.
Tungepata ka video ka hili tukio ingebamba sana.Du wapi hiyo
Siku ukitekwa wewe au mtoto wako uka enda muokota Hana macho na katobolewa mwili urudi tena hapa, Nyerere ange angalia Hilo we Leo hii usinge kia unajivunia utanzania huenda idd Amin ange ichukua na Mwanza nzima man be a man, watu kufa tuta kufa TU ukusikia wale walio enda kuhiji maka juzi wakapata ajali ya gari na kufa wote?Magnifico unakumbuka ule uzi niliokuwa nasema watu watulie wawaonee huruma watoto wao na wanawake zao kwa sababu ni waathirika wakubwa wa machafuko yanapotokea. Ulinijibu sijui watu wametekwa nikasema mitihani hiyo sio sababu ya kuvunja amani.
Umeona sasa?
Amani ikivunjika watu wengi wasio na hatia wanapatwa na madhara.
Sitaki kukusimanga wala kuwasimanga watu, ila nataka kukuzindua, tutafakari na tujifunze sote madhara ya kufungua milango ya fitna, fitna hiyo ikija inamkumba aliyehusika na asiyehusika. Kuweni na subra, amani ikivunjika madhara yake ni makubwa kuliko yale mnayotaka kuyaondoa. Sio katika akili salama kutaka kuondoa madhara kwa kusababisha madhara makubwa zaidi kuliko unayodai unataka yaondoke.
Waoneeni huruma watu wasio na hatia yoyote. Tulieni.
Tulieni jamani.
Lazima umuamini kwani tangu lini nyumbu mkatumia akili zenu? Nyie akili zenu si mmeweka kabatini mnatumia za mange na Maria sarungi
SanaTungepata ka video ka hili tukio ingebamba sana.
aya ulikuwa una bisha habari ya Mange ,msemaji kasemajeUjue mimi sipingi harakati hizi
Shida ni watu kumuamini mange kwa kila kitu
Huyo dada anajua sana kutengeneza agenda hapa anawajaza upepo male Shaba
Alisema 29 tokeni wajeda wapo kuwalinda na matokeo yake watu wamekufa kama njugu.
Tuamueni kwa akili yetu sio ya Mange
Mambo ya wanajeshi na polis hasa yametokea mbeya[emoji1313]1View attachment 3506408