Mange achoma moto kadi ya CCM live

Kuna vitu huwa najiuliza sana ,what if Mange ni double agent ? Kwa maana ya kwamba anaonyesha anapigania udhalimu wa serikali kumbe pia serikali inamtumia kupata vitu fulani ?
Hawa wanaotuma videos au pictures kupitia whatsapp wana uhakika gani taarifa zao zinaishia kwa Mange ?
Sio kwa kejeli matusi anayowapa viongozi wa nchi hii akiwemo rais, kama ni double agent basi waliomfanya awe agent watakuwa matahira kuzidi yeye,
 
Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??
Hayo ni maisha yake binafsi hayatuhusu hata Kama angekuwa anaishi mbinguni.muhimu kwetu ni kutujali na kutusemea sisi tulioko kwenye matatizo.
 
Mange aishi Marekani hadi awamu ya tano tuitoe baru kwenye sanduku la kura 2020,akijifanya kuja tu atapotea Kama Ben Saanane.
 
hii operation ni mwiba kwa ccm kama mwaka jana alivyokuwa mwiba kwa lowasa..operation hii itakuwa na impact kubwa sana japo wachache na wenye viburi vya madaraka wanaichukulia kama upuuzi.
 
Kuna mawili hapa aidha huyu dada ni shujaa wa kweli .......... ama uwezo wake wa kusoma hatari ni mdogo....lets wait and see ... remember every action has retaliation
 
Nimekuwa nikimfatilia Mange miaka 2 sasa, ni mwanamke ambae naweza kusema umagharibi umemuathiri sana anapenda sana bifu na wanawake wenzake ingawa akiombwa radhi haraka huamua kuachana na bifu hizo kimya kimya, ni muwazi kupitiliza anaweza hata kuelelzea aina na rangi ya nguo ya ndani aliyovaa siku hiyo, hadi sasa account yake ya instagram ipo na followers 739K, ni mzuri sana wa kufichua madudu ya viongozi mbali mbali na kwa namba ya watu wanaomfuata matamko na ujumbe wake unasikika kwa kasi ya ajabu kama moto nyikani. kwa matamshi yake mwenyewe ni kuwa aliwahi kugombea ubunge jimbo fulani katika mkoa wa dar kupitia ccm lakini walimbwaga mapema sana. Sasa ameibuka na kampeni ya kuwataka watanzania kutia moto kadi zao za ccm na wanamuitikia kwa kishindo, Muite utakavyomuita Mange lakini kwa jamii ya kitanzania na hasa wanaotumia mtandao wa instagram ana ushawishi mkubwa kuliko mtanzania yoyote yule anaeishi nje ya nchi. Huyo ndio mange.
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

folish age
 
Lazima uwe taahira kufikiria kuwa kuna mtanzania ambaye anatakiwa kuhama au kuhamishwa nchi kwa sababu yoyote ile. Hakuna mtanzania mwenye haki zaidi ya utanzania kuliko mwingine. Ni lazima uwe punguani kuamini kuwa kuna watanzania wenye haki ya kuhamisha watanzania wengine.

Tutapishana na kutofautiana kiitikadi, kimtazamo na kifikra, lakini mwisho wa yote, sote ni watanzania wenye haki ya utaifa wetu inayolingana.
Hayo ni mawazo na acha niyaheshimu vivyo hivyo nawe yangu yaheshimu.
 
Kiongonzi hawawezi kuona hilo Serikali inatumia nguvu kumjibu mtu ambae mnamuita chizi
Hivi Serikali Imawahi Kumjibu Jambo Gani Jingine Ukiachana Na Ule Uzushi Wa Makamu Wa Rais Kujiuzulu ?

Hii Ishakuwa Na Nyumbu Wengi Sana
 
Back
Top Bottom