Familia ya Nyerere tunapinga watu kurudisha kadi za CCM

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
 
Familia ya Nyerere haiwezi kuwa na mwanafamilia Mburura kama wewe. Tena acha kutumia jina la ukoo wa Nyerere kwa upumbavu wako huo narudia tena kama. Labda nikukumbushe kuwa hata mwaka 1995 baada ya Mwl Julius ambaye alikuwa ni muasisi wa CCM aliweza kutamka waziwazi kuwa CCM siyo mama yake akimaanisha anaweza akaachana nayo. Sembuse hao watu wanaotumika kama Condom
 
Nakazia
 
Sasa huyu aliyeandika ni the real one labda kama mgeni JF. Alafu unaweza usimuelewe lakini katikati ya mstari kuna ujumbe.
 
Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.
Machafuko wayalete viongozi wa CCM wenyewe halafu uwasingizie Wananchi na Wanachama wake wenye akili timamu.

Wanachama hawa wanaotambua uozo wa Chama Cha Mapinduzi.

Haiingii akililini ati CCM inawatukana wanachama wake, hilo hapana.

Kuwaita 'illiterate', kwa sababu ya kurudisha kazi ni matusi mabaya sana.

Sasa Ilihali mtaendelea kuwatukana wanachama, basi ni sawa kwao kurudiaha kadi hizo kila kata na kama ilivyoandikwa sehemu, wazipige picha na kuzituma kwenye kurasa zao za mitandao ya jamii.

...N.B: Mwalimu J.K Nyerere hakuwahi kuwadhihaki Wanachama wake, hususani wale wanyonge, badala yake alikuwa akiwatetea kwa nguvu zote.
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Kwanini mnamshambulia MBOWE? Kwani yeye ndio kasababisha mshindwe kuwapelekea huduma wananchi wenu?
 
Tuanzie hapa kwanza:

Ni nani mwandishi wa takataka hii inayoletwa kwa jina la familia ya Mwalimu, mbona hajitambulishi watu wakajua.

Mwandishi hatofautishi CCM iliyopo leo na CCM aliyoiasisi na kuiongoza Mwalimu? Yeye mwenyewe angekuwepo leo hii na kuiona CCM hii angeikana moja kwa moja, na huenda angechoma moto lile gamba alilokuwa nalo.

Kwa hiyo huyu mwandishi, anaona ni bora watu wang'ang'anie kuwa na kadi za CCM hata wakati CCM yenyewe haijitambui inasimamia kitu gani?

Halafu kwa ujinga kabisa anauliza ni chama gani kinaweza kuwa mbadala wa CCM. Hawa wanaoiongoza CCM sasa hivi wanazo sifa gani kuzidi hao wengine walioko kwenye vyama vya upinzani?
Utamlinganisha Mbowe na Samia?
 
Machafuko wayalete viongozi wa CCM wenyewe halafu uwasingizie Wananchi na Wanachama wake wenye akili timamu.

Wanachama hawa wanaotambua uozo wa Chama Cha Mapinduzi.

Haiingii akililini ati CCM inawatukana wanachama wake, hilo hapana.

Kuwaita 'illiterate', kwa sababu ya kurudisha kazi ni matusi mabaya sana.

Sasa Ilihali mtaendelea kuwatukana wanachama, basi ni sawa kwao kurudiaha kadi hizo kila kata na kama ilivyoandikwa sehemu, wazipige picha na kuzituma kwenye kurasa zao za mitandao ya jamii.

...N.B: Mwalimu J.K Nyerere hakuwahi kuwadhihaki Wanachama wake, hususani wale wanyonge, badala yake alikuwa akiwatetea kwa nguvu zote.
Huyo mwandishi aliyeandika (siyo makala, haistahili kamwe kuitwa hivyo), hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Ni mhuni mmoja tu kaamua kuhusisha familia hiyo na ujpuuzi huu aliouandika hapa.
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.

hii ndiyo demokrasia acheni ku punic demokrasia ni 50/50
 
Labda familia ya Nyerere STEVE 😆 😆
 
Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Wewe utakuwa unayo matatizo, uandishi wenyewe unaonyesha hivyo.
Nikiangalia jina unalotumia 'Poppy', mashaka yanazidi kuwa makubwa juu ya usalama wa akili yako.

Ni jambo la kusikitisha sana kwamba watu walioko ndani ya CCM siku hizi, wengi wao ni wa akili za aina hii hii kama yako, ndiyo maana chama kimekuwa ni janga la nchi hii.
Watu msioamini uwepo wa Katiba inayotupa mwongozo wa kuendesha maisha ya nchi yetu, ni lazima akili zenu ziwe zimefyatuka kama hii yako.
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Ninapokea kadi za kijani kwa ajili ya kutengenezea nishati mbadala ya mkaa(briketsi).
 
Mimi ni Andrew Nyerere. Mimi siyo Steve Nyerere.
Watu wanavikataa vyama vya Upinzani. Wapinzani wanaisingizia Katiba kwa kushindwa kwao.
Lipumba yule in fact alikuwa wa kwanza kuaema tunapoteza muda kufanya Uchaguzi na Katiba hii.
Huyu juzi kafanya mku5ano wa hadhara (at about the time Kamala Harris came here),mkutano ule walihudhuria waandishi wa habari tu.
Sasa Wapinzani watazungumza uongo mpaka lini kuisingizia hii Katiba.
Halafu umeona TEC hawakuhudhuria mkutano wako wa Kamati ya Katiba. Watu wa Injili wale,Katiba yako na mambo ya kudunia inawahusu nini?
Debe tupu haliishi kutika. M0inzani anasimama pale lwenye jukwaa,anaongea,ana-sound kama debe tupu,wananchi wanamnyima kura,halafu anailaumu Katiba.
Tatizo siyo Katiba. Haki inatendeka kama kuna utashi wa kisiasa.
Kwa mfano unaona sasa hivi,watu wanagombana na Rais Samia:wanasema spichi yake ya September 11 imewasema vibaya Chadema.
Actually,there is great confusion here. Samia Suluhu alikuwa anakwenda kutoa hotuba kueleza kwa nini Tundu Lissu yuko ndani mahabusu. Lakini( unbeknown to the president) Tundu Lissu alikuwa ameshaachiwa huru kwa dhamana. Lakini yeye alikuwa already programmed to give that speech,the pre-written speech,sasa tunagombana kuhusu something which never happened.
 
Wewe ni mmojawapo wa wale wapumbavu aliosema Mama kuwatuma huku mitandaoni.
Kwa taarifa yako ni kwamba kurudisha kadi za CCM sio kuvunja Amani.

Kadi ya CCM ni kikaratasi kama vilivyo vikaratasi vinginevyo.
Cha muhimi ni imani ya mwanachama husika, na unapoona wamefikia hatua hiyo ujuwe CCM pia imewatoka mioyoni mwao.

Mlitakia kuanzia na hapo na sio kwingineko!

Nyinyi endeleeni kupindisha hoja kila uchao huku mkikwepa kuujadili mzizi wa Tatizo kama vile Ufisadi, wizi wa Abdul. DP-WORLD na mengine meeengi.
CCM 8naelekea shimomi
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Wananchi rudisheni kadi za CCM kila wilaya.
 
N

Na wewe ni mwanafamilia?
Kiruuu!
 
Mimi ni Andrew Nyerere. Mimi siyo Steve Nyerere.
Watu wanavikataa vyama vya Upinzani. Wapinzani wanaisingizia Katiba kwa kushindwa kwao.
Lipumba yule in fact alikuwa wa kwanza kuaema tunapoteza muda kufanya Uchaguzi na Katiba hii.
Huyu juzi kafanya mku5ano wa hadhara (at about the time Kamala Harris came here),mkutano ule walihudhuria waandishi wa habari tu.
Sasa Wapinzani watazungumza uongo mpaka lini kuisingizia hii Katiba.
Halafu umeona TEC hawakuhudhuria mkutano wako wa Kamati ya Katiba. Watu wa Injili wale,Katiba yako na mambo ya kudunia inawahusu nini?
Debe tupu haliishi kutika. M0inzani anasimama pale lwenye jukwaa,anaongea,ana-sound kama debe tupu,wananchi wanamnyima kura,halafu anailaumu Katiba.
Tatizo siyo Katiba. Haki inatendeka kama kuna utashi wa kisiasa.
Kwa mfano unaona sasa hivi,watu wanagombana na Rais Samia:wanasema spichi yake ya September 11 imewasema vibaya Chadema.
Actually,there is great confusion here. Samia Suluhu alikuwa anakwenda kutoa hotuba kueleza kwa nini Tundu Lissu yuko ndani mahabusu. Lakini( unbeknown to the president) Tundu Lissu alikuwa ameshaachiwa huru kwa dhamana. Lakini yeye alikuwa already programmed to give that speech,the pre-written speech,sasa tunagombana kuhusu something which never happened.
sasa Andrew hebu acha bangi kwanza mkuu ndio tuendelee na majadiliano.

hicho kikao cha familia mlikaa lini kijadili haya na kupitisha kuwa ni maazimio ya familia ya nyerere??
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Hivi kwanini mnamuhofia sana Mbowe kwanini usimtaje zitto au lipumba au hata Shibuda au kina john cheyo maana naona kila siku Mbowe na lissu au wametushika pabaya
 
Hii inaharibu kazi yote aliyofanya Mwalimu Nyerere. Wiki chache kabla ya kuadhimisha Nyerere Day, watu wanafanya mashindano ya kurudisha kadi za CCM.

Matatizo yakitokea yanapaswa kujadiliwa. Vipo vyombo vya kutanzua migogoro. Kurudisha kadi za CCM siyo suluhu.

Sijui inasababishwa na nini, kwanza Ngorongoro tumeona watu wanarudisha kadi,na sasa Nachi gwea. Nilikuwa namsikiliza yule kikaramba mmoja jana anarudisha kadi,yule kikaramba haongei hata neno moja la Kiswahili. Alikuwa anaongea Kimwera tu. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Hata sijui alikuwa anaongea nini. Lakini nadhani alikuwa anasema Chikawe alikuwa Mbunge na hakumletea maji,na sasa lazima arudishe kadi ya CCM.

Tutaleta machafuko ndani ya nchi tukianza kuwachochea hawa watu illiterate kufanya mambo ambayo hayana faida kwao.

Kuna Chama gani kinaweza sasa hivi kuwa mbadala wa CCM Tanzania? Huyu Mbowe kweli anaweza kuwa rais wa Tanzania? Hii nchi ni very complex and sophisticated. Huyu Mbowe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Huku tunafhikulia mambocooa kwa sababu CCM ina wanachama wengi. Lakini Ulaya waleg wanaoitwa Center Left Party, Center Right Party, Christian Democrats,(whatever), wangeanza kuzirudisha kadi au kuzichoma moto kadi, ingekuwa hapatoshi.
Huyo Nyerere ndiye wa kulaumiwa kabisa muungano aliong'ang'ania ndiyo huu unatuleteea waunguja wanaouza maliasili zetu. Sasa hivi Watanganyika tumeanza kuwa watumwa wa Wazanzibari kupitia hii CCM. Kurudishwa kadi ni ishara kuwa Watanganyika tunataka uhuru wetu.
 
Back
Top Bottom