Siku hizi,
Penzi langu kwako kama tumbo la kuharisha, kulizuia siwezi
Siku hizi,
Penzi langu kwako kama tumbo la kuharisha, kulizuia siwezi
Siku hizi,
Penzi langu kwako kama tumbo la kuharisha, kulizuia siwezi
Mpenzi wa Asiyejua kununa umetisha..
Usisahau kuja pale chini ya mti karibu na kisima cha kijiji..lolz
Shem umeanza lini umbea?Hebu kama zipo karibu chukua moja utunakilie hapa mdogo wangu. Mie nazipenda saana. Lol
Mpenzi asiyejua kununa, ukinikuta chini ya ule mti na ukakuta najing'ata ng'ata vidole ujue.... :violin:
Shem umeanza lini umbea?
Mi nakumbuka moja niliifumania maza alimwandikia baba enzi hizooo Eti "Kwa jinsi navokupenda, kohozi lako kwangu mie ni siagi"
Hahahahaha! Mama bana, khaaa!!
Using'ate vidole mpenzi wa asiyejua kununa..ntakuletea 'jojo'...
Slave umenikusha siku moja nilichapwa sana aagggrrr kisa nimeandikiwa barua!!!
nimeingia zangu ndani nalia nikaambiwa eti nimeenda kuibusu nikaitwa tena kupigwa.....yani nimejisikia vibaya.
AshaDii maisha yangu si chochote si lolote kwako nipo tayari kuiaga dunia kuliko kushuhudia mahusiano ya wewe na huyo ulienae sasa ni mimi mtumwa wa mapenzi.Mpenzi wa Asiyejua kununa
S. L. P Mapenzi yalipotuliya
Kwako Kipenzi cha moyo na roho yangu,
mara baada ya kupata waraka huu akili imeruka kwa furaha,
hata niya ya kumkubali Slave aliyening'ang'ania kunitongoza
kama ruba kumeyeyeka kama barafu kwenye moto wa Petroli!
Mie nakupenda unipendae wenye wivu wacha wajinyonge
kwenye kamba ya radio cassete!
Wako akutunziae penzi la ukweli lisiloyumbishwa.
ADI.
Lol
Usitie shaka kabisa kipenzi Smile.
Mie mzima kabisa wa afya, hofu na mashaka ni juu yako ulie mbali na uwepo wa macho yangu kama ilivyo kwa utosi na unyayo na kunifanya kujisikia kuumwa kila nikumbushwapo jina lako lililotawala kupitia smile ya wapendwa wangu wote. Natamani waendelee tu kununa. Lol
Miss you so much like Obama misses Osama.