Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Salam,
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo
angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata
bado. Je naweza nikatua kwako?
Nyingine;
Silli silali nakuwaza wewe.. Nikinywa maji nakuona ndani ya kikombe.
Nyingine;
Kutoka kwa akupendae
S.L.P. Mimi na wewe tupendane.
Wakuu hebu niambieni nyingine mlio wahi ona, ama andika/andikiwa.
Mnazikumbuka?
Hahahaha! Kuna mmoja alimtumia mpenzi wake card ya harusi kwa kuwa ilikuwa na maua mazuri.