my father ana barua za wachumba wake woote ,halafu wamama wengine ni wa hapo hapo mtaani.tulikuwa tunasoma na mama tunacheka kweli
my father ana barua za wachumba wake woote ,halafu wamama wengine ni wa hapo hapo mtaani.tulikuwa tunasoma na mama tunacheka kweli
kuna mmoja alimwambia nakupenda kama kiazi,basi tunataniana na baba huwa tunachekaje?
Ngoja nikienda home moshi pasaka my sis !Hebu kama zipo karibu chukua moja utunakilie hapa mdogo wangu. Mie nazipenda saana. Lol
au waweza hitisha kwa "mpende akupendae"Ngoja nikienda home moshi pasaka my sis !
sina hapa by the way,
salamu sana,je hujambo? baada ya salamu, salamu zikufikie kama mchanga wa bahari wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Ngoja nikienda home moshi pasaka my sis !
sina hapa by the way,
salamu sana,je hujambo? baada ya salamu, salamu zikufikie kama mchanga wa bahari wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
rofl.....miss you so much like obama misses osama.
rofl.....
wifi mbona hata mie nazipata hadi leo?
Lol
he he he, nakupenda sana AshaDii, kila nikikuwaza namaliza kichane cha ndizi.
Ewe dada mwenye macho ya gololi na shingo ya pingili pingili, umeurarua moyo wangu kama simba araruavyo mwana swala.
🙂 🙂 🙂 🙂 those days lol