Maneno machache ya mkuu wa majeshi

Bado mshamba wa madaraka, trivial things ndio anadeal nazo.

Itabidi guidlines za uongoz ziwe updated na ziwea restrict kuji engage kwneye mambo ya hovyo
 
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
..raia acheni kulipa kodi tuone km hao kina chacha wataweza kuwalipa hiyo mishahara yao..hii ndio dawa ya hawa waliovimbiwa na kuja kutapika hadharani.
 
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Mshana Kanali Ngemela Lubinga, alikuwa Msemaji wa jeshi, baada ya kustaafu akateuliwa kuwa katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayehusika na uhusiano wa kimataifa, .
 
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Sasa hii ni nini? Kanusho au statement ya huzuni tu?

Kuna voice note/video clip yoyote inayoonyesha huyu mzee akiongea maneno hayo?

No demand kwa Chacha kukanusha? Kuexplain alichoongea? Kuomba radhi?
 
"Mh Paul Chacha amevikosea sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" -Jeneral Mkunda.View attachment 3679393
Sasa watanganyika wanahoji kwa kizungu.. What next!? Au ndio basi imetosha?
Huyu kwa kulinda heshima yake ndogo itakayorudi ni kunyamaza tu waTanzania wajikomboe wenyewe kwa njia zozote watakazoweza kuzitumia.
Yeye hapaswi kusema chochote. Anyamaze tu, hakuna atakayemlilia kwa kuwaumiza waTanzania kama alivyoruhusu huko nyuma.

Ninachomsihi na kumwomba, asikubali tena kushiriki katika kuwakandamiza waTanzania. Simwombi zaidi ya hilo.
 
Kumbe ndo huyu! Takataka kabisa hii kenge.
 
Imeisha hiyo nani amkoromee aliye waweka? Chacha kasema CCM ndio imewaweka hapo walipo.
Na video ilionyesha jinsi ukumbi mzima wa kijani ulivyosismukwa na kutiwa mori na hotuba hiyo.
Watu wanahakikishiwa maslahi yao yapo salama, kwa nini wasizizime kwa raha bila kujali yanayowapata hao wanaowatawala.
 
"Mamlaka" haiteuwi bila ya kumjuwa mtu sahihi kwa kazi wanayotaka wateuzi ifanyike. Kwa hiyo yeye alifikia vigezo walivyokuwa wakivitaka toka mwanzo. Na kweli hakuwaangusha!
Sio kweli, hawana utaalam wa vetting ya viwango hivyo

Samia utaratibu wake ni wa kubadilisha badilisha hata mara tano ndani ya miezi michache mpaka apate type yake anayoitaka yeye.

Ilikuwa hivyo kwa Mkurugenzi TISS, na taasisi nyingine nyeti kama TRA, TPA, Hazina, ambazo anataka figure head atakamwezesha kupitisha agenda zake yeye Samia, sio mtaalam ataefanya kazi kiueledi kwa manufaa ya umma.
 
Huyo Chaha analaumiwa kwa kuyasema haya haya aliyosema huyu Bashiru. Sasa sijui lawama kwa Chacha zinatoka wapi.
Na siyo hao wawili pekee waliowahi kuusema ukweli huo. Wapo wengi kila siku wanausema ukweli, na unajulikana kwa kila mmoja wetu, hata huyo anayejaribu kujikosha kwa kuukana ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…