Maneno haya Mochwari yanauma sana!

Kufa siogopi ila huwa sipendi kuona maiti.

Kuna muda nawatamania waliofariki maana wanakuwa wamepata pumziko la milele.

Ikitokea umezaliwa sehemu nyingine unapata nafasi ya kurekebisha uliyoharibu mwanzo ulipokuwa duniani
Pumziko gani la Milele? Nani alikwambia ulifa unapumzika? Mwanadamu ni Roho na sio kiwiliwili. Pumziko ni pale Roho inapopumzika vinginevyo msotp unaendelea tu.
 
Maujinga yapi mkuu?

Hakuna ujinga duniani

Ambacho kwako hakimake sense Kwa mwingine ni sensical.Wakati kwako ng'ombe ni nyama wenzio kule India ng'ombe ni MUNGU!! Akikatiza kwenye reli ni heri Kwa dereva afunge breki awamwage kuliko kumgonga MUNGU (ng'ombe)

Hata wasioamni ktk MUNGU yoyote Kwa wengine waamninio huwaona wao wasio amini kuwa ni wapuuzi..Kwa sababu MUNGU ni Imani,Mimi na wewe tunaweza kuchagua kuamni ktk Jambo fulani akawa MUNGU wetu.Ingawa mm naamini yupo MUNGU mkuu
Mkuu

Ujinga upo

Ni kama hao wanakuambia kuna kitu kinaitwa "mungu",kinataka ukiabudu masaa yote,na ana wivu usipomuabudu anakuchoma moto,ndio ukahoji anapata faida gani hasa?

Sasa mtu anaemini hizi stori za kufikirika ni kaongeza ujinga wala hajaufuta!
 
Mkuu

Ujinga upo

Ni kama hao wanakuambia kuna kitu kinaitwa "mungu",kinataka ukiabudu masaa yote,na ana wivu usipomuabudu anakuchoma moto,ndio ukahoji anapata faida gani hasa?

Sasa mtu anaemini hizi stori za kufikirika ni
Hapa unaweza kuwa wewe ndy mjinga Kwa kujiwekea mipaka kisha ukaamua Kuwaita wenzio wajinga just because your subconscious haikubaliani na wanachokiamini..Zamani Sana miaka ya 700 AD padre mmoja kanisani aliwahi Kusema miaka ya mbeleni watu watakuwa wanapaa angani.Kasisi mwingnie Akaenda madhabauni akasema huu uliofanya ni ujinga na upotoshaji na zaidi sn umeongea uwongo waziwazi unapaswa utubu.Miaka mingi baadae Leo watu wanaenda Marekani kutoka Tz Kwa Ndege wakiwa angani

Hatupaswi Kuwaita wajinga wale ambao hatukubaliani nao mawazo👇👇
kaongeza ujinga wala hajaufuta!
 
Wakuu. Kuna mochwari nilienda kumcheck ndugu yangu mmoja, akanitembeza mle ndani kwenye majokofu ya maiti kujionea miili ya watu iliyokata roho pamoja na mazingira yale.

Kuna maiti zilitokana na ajali, ugonjwa, uchawi n.k. Nikiwa humo ndani mochwari nikaona haya maneno kwenye ubao.

TULIKUWA KAMA WEWE, UTAKUWA KAMA SISI. USIJISAHAU!

Aina hii statement ya hawa marehemu inauma mpaka kesho.
ni kwamba iyo statement marehemu ndio wameiandika😂😂🤣
 
Hapa unaweza kuwa wewe ndy mjinga Kwa kujiwekea mipaka kisha ukaamua Kuwaita wenzio wajinga just because your subconscious haikubaliani na wanachokiamini..Zamani Sana miaka ya 700 AD padre mmoja kanisani aliwahi Kusema miaka ya mbeleni watu watakuwa wanapaa angani.Kasisi mwingnie Akaenda madhabauni akasema huu uliofanya ni ujinga na upotoshaji na zaidi sn umeongea uwongo waziwazi unapaswa utubu.Miaka mingi baadae Leo watu wanaenda Marekani kutoka Tz Kwa Ndege wakiwa angani

Hatupaswi Kuwaita wajinga wale ambao hatukubaliani nao mawazo👇👇
Kwahiyo kwa unachokisema ni kwamba kila anachoongea binadamu ni sahihi?

Maana ni maajabu wewe kufanya blanket universal declaration eti hakuna ujinga wala chochote anachokiongea mwanadamu ni sahihi!

What a lie!

Siwezi kukubaliana na wewe

Kila anachokiongea mwanadamu kina probability ya kua sahihi au sio sahihi.....

Sahihi na sio sahihi ni natural occurrence ya vinayofanywa au kuongelewa na wanadamu,wewe kudai ni sahihi wakati wote inaonesha upo kwenye denial au upo naive kupita maelezo.
 
Huyu mhubiri aliandika mambo ya maana Sana...Kuna mambo yanatusumbua tu hapa duniani hayana maana
Umenikumbusha biblia kitabu cha muhubiri

Muhubiri anasema kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu..Hamna Jambo la maana hapa duniani

Tunakula,tunashiba kisha tunasikia tena njaa,tunapata usingizi tunalala,tunaamka alafu tunalala tena..Unasikia genye, unagegeda unaridhika kisha baada ya Massa kadhaa unasikia tena hamu!!

Tunazaliwa,tunaishi,tunateseka na tozo alafu tunakufa..maisha yana maana gani sasa
 
Nadhani kinachotuhuzunisha ni kuiona miili katika hali ambayo ni ya huzuni.Kiuhalisia ule pale ni mwili tu,yule mtu mwenyewe hayupo tena kwa maana nafsi yake pale haipo.Ni kama vile unapobadilisha cover au housing ya simu yako,lile cover linakuwa lipo tu si kitu tena.Huzuni nyingine ni ile kuona fulani huyu sintokuwa naye tena,hazungumzi.Na kama kifo chake kilisababishwa na ajali au kuuwawa ama kudhurika basi unakuwa na uchungu.Ila kiuhalisia ile pale ni housing tu,engine imeshauacha
 
Wakuu. Kuna mochwari nilienda kumcheck ndugu yangu mmoja, akanitembeza mle ndani kwenye majokofu ya maiti kujionea miili ya watu iliyokata roho pamoja na mazingira yale.

Kuna maiti zilitokana na ajali, ugonjwa, uchawi n.k. Nikiwa humo ndani mochwari nikaona haya maneno kwenye ubao.

TULIKUWA KAMA WEWE, UTAKUWA KAMA SISI. USIJISAHAU!

Aina hii ya statement ya hawa marehemu inauma mpaka kesho.
Hii statement niliiona Ujerumani somewhere makaburini
 
Lkn lipo tumaini Kwa Sisi tunaoamini ktk Kristo

Tunasoma ktk biblia kwamba baada ya kifo hakutakuwa na maumivu tena..hutahisi maumivu ya mwili,wala hakuna tozo mbinguni,huko kuna Amani na furaha,hakuna Julio,tunasifu na kuabudu,hakuna kuhisi njaa,hakuna usku na mchana,ni shangwe Tu mwanzo mwisho

Lkn tumeambiwa waovu watatupwa katika ziwa liwakalo Moto milele
Kwa akili yako yakawaida kabisa kusifu na kuabudu 24/7 sio azabu? huko mbinguni kwenu nendeni wenyewe tu sitaki upuuzi mimi
 
Nikiwaza kufa naona bora nisingezaliwa, naogopa sana sana hasa kufukiwa kaburini natamani hata kungewezekana mwili wangu ungechomwa moto naogopa mnooo
Jamaa wanakuja. Wanakunywa. Wanakula. Muda unafika. Maneno ya porojo hapa na pale (wenyewe wanaita sala). Huyoo jeneza linashushwa ardhini. Wapendwa wako wanamwaga vimichanga vya uongo na kweli huyoo unafukiwa. Maneno tena ya faraja hapa na pale jioni inafika jamaa wanasambaa we unaachwa kimyaaa chini ardhini. Huko chini unajiozea na kuliwa na mafunza mpaka unabakia mifupa tupu. Inatisha sana!

Kuna jamaa niliona alizikwa jeneza lake likafunuliwa halafu akamwagiwa zege. Aliacha wosia kuwa hataki kuliwa na funza na kwa vile mummification ni gharama jamaa wakaona wamgandishe tu kwenye simenti huko huko chini. Sijui kama inasaidia kutoliwa na funza.

Yote kwa yote we uko kama mimi. Ikiwezekana nichomwe moto tu kwa wanaotaka wabakie na kimkebe cha majivu tu kazi kwisha. Tuandike will zetu mapema nkamu kungali na muda bado! 😁😁😁🖐🖐🖐
 
Back
Top Bottom