Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Wakuu. Kuna mochwari nilienda kumcheck ndugu yangu mmoja, akanitembeza mle ndani kwenye majokofu ya maiti kujionea miili ya watu iliyokata roho pamoja na mazingira yale.
Kuna maiti zilitokana na ajali, ugonjwa, uchawi n.k. Nikiwa humo ndani mochwari nikaona haya maneno kwenye ubao.
TULIKUWA KAMA WEWE, UTAKUWA KAMA SISI. USIJISAHAU!
Aina hii ya statement ya hawa marehemu inauma mpaka kesho.