Maneno haya Mochwari yanauma sana!

Maneno haya Mochwari yanauma sana!

Umenikumbusha biblia kitabu cha muhubiri

Muhubiri anasema kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu..Hamna Jambo la maana hapa duniani

Tunakula,tunashiba kisha tunasikia tena njaa,tunapata usingizi tunalala,tunaamka alafu tunalala tena..Unasikia genye, unagegeda unaridhika kisha baada ya Massa kadhaa unasikia tena hamu!!

Tunazaliwa,tunaishi,tunateseka na tozo alafu tunakufa..maisha yana maana gani sasa
Silali nikikesha kujaza Mali nyingi nyingi nyingi tena napanda usafiri nikatafute nyingine Tena napata ajali nakufa muda huohuo....sijapata starehe ya kile nimekitolea jasho wanaonufaika ni wengine,wanangu hawathaminiwi Tena mwenye sauti nishakufa.Aisee,kilakitu tufanye Kwa kias
 
Hivi tukifa tunaenda kupumzika au ni adhabu/moto??

Maana hakuna aliyeenda akarudi
Kama ambavyo kabla hujazaliwa ulikuwa hujui chochote hivyo hivyo baada ya kifo utalala kimya pasi na kujua chochote !!

Biblia inatufundisha kwamba lipo tumaini baada ya kifo lkn inatufundisha kwamba jinsi anavyokufa mnyama Ndivyo binadamu Hana tofauti,atakufa hivyo hvyo,..Baada ya kifo ni hukumu siku ya mwisho lkn wafu walio kaburini hawajui chochote wala hawasikii maumivu!! Wamelala kimya
 
Kama ambacho kabla hujazaliwa ulikuwa hujui chochote hivyo hivyo baada ya kifo utalala kimya pasi na kujua chochote !!

Biblia inatufundisha kwamba lipo tumaini baada ya kifo lkn inatufundisha kwamba jinsi anavyokufa mnyama Ndivyo binadamu Hana tofauti,atakufa hivyo hvyo,..Baada ya kifo ni hukumu siku ya mwisho lkn wafu walio kaburini hawajui chochote wala hawasikii maumivu!! Wamelala kimya
Kifo ni fumbo.
 
Silali nikikesha kujaza Mali nyingi nyingi nyingi tena napanda usafiri nikatafute nyingine Tena napata ajali nakufa muda huohuo....sijapata starehe ya kile nimekitolea jasho wanaonufaika ni wengine,wanangu hawathaminiwi Tena mwenye sauti nishakufa.Aisee,kilakitu tufanye Kwa kias
Niliwahi kusoma kitabu cha dini Fulani kwamba tumezaliwa ili tumwabudu MUNGU ( tufanye ibada)

Nikajiuliza MUNGU anafaidika na nini Kwa Sisi kumwabudu,na Sisi tunapata faida gani kufanya ibada?

Kwa binadamu linaweza kuonekana Jambo la kipuuzi lkn upuuzi wa mwanadamu ni hekima mbele za MUNGU ..

pengine MUNGU anacheza gemu la kujifurahisha ,na Sisi ndiyo gemu lenyewe,Kwa nn tumpangie cha kufanya?
 
Kifo ni fumbo.
Fanya..fumbo kiaje

Kwa sababu biblia inasema jinsi apatavyo maumivu mnyama Ndivyo apatavyo binadamu na jinsi anavyokufa mnyama Ndivyo binadamu anakufa.

Jana nimekuta paka amegobgwa na gari barabarani amekanyagwa amekuwa km chapati..Nikasema Kama ambavyo hakujua chochote kabla hajazaliwa ndivyo hajui chochote Kama anakanyagwa na magari hapa barabarani
 
Kama ulivyozaliwa ukiwa huna ufahamu wa jambo lolote vivyo hivyo ukifa ndio mwisho hautajua lolote na hakuna utakapoenda.

Yani ni mwisho mtimilifu. Dini hizi tu zimevuruga akili za watu.

Ukweli ndio huo.
Unaamini Yesu aliwahi kuishi hapa duniani?
 
Niliwahi kusoma kitabu cha dini Fulani kwamba tumezaliwa ili tumwabudu MUNGU ( tufanye ibada)

Nikajiuliza MUNGU anafaidika na nini Kwa Sisi kumwabudu,na Sisi tunapata faida gani kufanya ibada?

Kwa binadamu linaweza kuonekana Jambo la kipuuzi lkn upuuzi wa mwanadamu ni hekima mbele za MUNGU ..

pengine MUNGU anacheza gemu la kujifurahisha ,na Sisi ndiyo gemu lenyewe,Kwa nn tumpangie cha kufanya?
Mkuu

Usipoteze muda kusikiliza majinga hayo....no such thing!
 
Hakuna snaejua baada ya kifo
Lkn lipo tumaini Kwa Sisi tunaoamini ktk Kristo

Tunasoma ktk biblia kwamba baada ya kifo hakutakuwa na maumivu tena..hutahisi maumivu ya mwili,wala hakuna tozo mbinguni,huko kuna Amani na furaha,hakuna Julio,tunasifu na kuabudu,hakuna kuhisi njaa,hakuna usku na mchana,ni shangwe Tu mwanzo mwisho

Lkn tumeambiwa waovu watatupwa katika ziwa liwakalo Moto milele🤔
 
Lkn lipo tumaini Kwa Sisi tunaoamini ktk Kristo

Tunasoma ktk biblia kwamba baada ya kifo hakutakuwa na maumivu tena..hutahisi maumivu ya mwili,wala hakuna tozo mbinguni,huko kuna Amani na furaha,hakuna Julio,tunasifu na kuabudu,hakuna kuhisi njaa,hakuna usku na mchana,ni shangwe Tu mwanzo mwisho

Lkn tumeambiwa waovu watatupwa katika ziwa liwakalo Moto milele[emoji848]
Kumbe
 
Niliwahi kusoma kitabu cha dini Fulani kwamba tumezaliwa ili tumwabudu MUNGU ( tufanye ibada)

Nikajiuliza MUNGU anafaidika na nini Kwa Sisi kumwabudu,na Sisi tunapata faida gani kufanya ibada?

Kwa binadamu linaweza kuonekana Jambo la kipuuzi lkn upuuzi wa mwanadamu ni hekima mbele za MUNGU ..

pengine MUNGU anacheza gemu la kujifurahisha ,na Sisi ndiyo gemu lenyewe,Kwa nn tumpangie cha kufanya?
Umeona ee
 
Mkuu

Usipoteze muda kusikila majinga hayo....no such thing!
Maujinga yapi mkuu?

Hakuna ujinga duniani

Ambacho kwako hakimake sense Kwa mwingine ni sensical.Wakati kwako ng'ombe ni nyama wenzio kule India ng'ombe ni MUNGU!! Akikatiza kwenye reli ni heri Kwa dereva afunge breki awamwage kuliko kumgonga MUNGU (ng'ombe)

Hata wasioamni ktk MUNGU yoyote Kwa wengine waamninio huwaona wao wasio amini kuwa ni wapuuzi..Kwa sababu MUNGU ni Imani,Mimi na wewe tunaweza kuchagua kuamni ktk Jambo fulani akawa MUNGU wetu.Ingawa mm naamini yupo MUNGU mkuu
 
Nikiwaza kufa naona bora nisingezaliwa, naogopa sana sana hasa kufukiwa kaburini natamani hata kungewezekana mwili wangu ungechomwa moto naogopa mnooo
Maamuzi ni yako, andika wosia mapema watakuchoma
 
Back
Top Bottom