Maneno haya Mochwari yanauma sana!

Maneno haya Mochwari yanauma sana!

Jamaa wanakuja. Wanakunywa. Wanakula. Muda unafika. Maneno ya porojo hapa na pale (wenyewe wanaita sala). Huyoo jeneza linashushwa ardhini. Wapendwa wako wanamwaga vimichanga vya uongo na kweli huyoo unafukiwa. Maneno tena ya faraja hapa na pale jioni inafika jamaa wanasambaa we unaachwa kimyaaa chini ardhini. Huko chini unajiozea na kuliwa na mafunza mpaka unabakia mifupa tupu. Inatisha sana!

Kuna jamaa niliona alizikwa jeneza lake likafunuliwa halafu akamwagiwa zege. Aliacha wosia kuwa hataki kuliwa na funza na kwa vile mummification ni gharama jamaa wakaona wamgandishe tu kwenye simenti huko huko chini. Sijui kama inasaidia kutoliwa na funza.

Yote kwa yote we uko kama mimi. Ikiwezekana nichomwe moto tu kwa wanaotaka wabakie na kimkebe cha majivu tu kazi kwisha. Tuandike will zetu mapema nkamu kungali na muda bado! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Sema tu mawaidha ya kifo ni kutishana au?[emoji23],
 
Kama ulivyozaliwa ukiwa huna ufahamu wa jambo lolote vivyo hivyo ukifa ndio mwisho hautajua lolote na hakuna utakapoenda.

Yani ni mwisho mtimilifu. Dini hizi tu zimevuruga akili za watu.

Ukweli ndio huo.
Kila kitu kina sababu na malengo. Sasa wewe upo duniani kwa ajili ya nini? Unahisi kwa nini hadi Sasa upo hai? Nini unastahili cha zaidi kuliko hao waliokufa?
 
Nikirudi,sitorudi tena huku[emoji50]
Unaweza ukarudi tena japo ni bahati ya ajabu. Imagine katika sperms bilioni sijui ngapi za bao la mshua ni wewe peke yako uliyebahatisha kuwashinda wenzio kwenye mbio ukalifikia yai la mama ukiwa wa kwanza. Sidhani kama hiyo bahati unaweza kuipata tena! 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Ni vyema tuwe na tabia ya kusoma vitabu na kupata Maarifa. Kila jambo lina kusudi hata mimi na wewe tunaishi na tuna mipango hadi tunakufa. Hivyo basi tambua kusudi la uwepo wako na ulifanyie kazi na sio kuishi kama Tusio na Fahamu
 
Nikiwaza kufa naona bora nisingezaliwa, naogopa sana sana hasa kufukiwa kaburini natamani hata kungewezekana mwili wangu ungechomwa moto naogopa mnooo
Unaweza ku opt kuchomwa moto, ni uchaguzi unaofanya ukiwa hai. Nina experience ya ndugu alipigwa samli na kupigwa tanuru.
 
Well, binafsi siogopi kufa maana husikii wala kuhisi chochote. (There's no master nor slave in Grave) ila tukio la kuwaona ndugu zangu wakizikwa halafu sitawaona tena ndio linaniuma zaidi.
Binafsi sioni lengo la mimi kuumbwa na kuzaliwa kama after some time nitakufa, ndugu zangu watakufa hafu sitawaona tena kuna maana gani sasa yakuzaliwa??

Kuzaliwa ni upuuzi. View attachment 2333396
Just imagine, kuna wakati unaona kabisa hakukuwa na sababu za kuishi, kama mwisho wa maisha did kama hivi. Hakukuwa na sababu za kuumbwa...
 
Kwa akili yako yakawaida kabisa kusifu na kuabudu 24/7 sio azabu? huko mbinguni kwenu nendeni wenyewe tu sitaki upuuzi mimi
Tafsiri ya adhabu ipo kichwani mwa mtu (ni illusion)

Hata Kula Kwa mwingine inaweza kuwa Jambo la maana na kujivunia Ila Kwa mwingine atauliza Kwa nn tuwe tunaKula siku kila saa? kwake akaihesabu ni adhabu!!
 
Kufa siogopi ila huwa sipendi kuona maiti.

Kuna muda nawatamania waliofariki maana wanakuwa wamepata pumziko la milele.

Ikitokea umezaliwa sehemu nyingine unapata nafasi ya kurekebisha uliyoharibu mwanzo ulipokuwa duniani
Yani unasema unaenda kupumzika? 🤔
 
Kifo hakizoeleki , Jana nime certify death ya Dogo mpaka Machozi yakawa yananitoka.


Kiukweli hata Mimi naogopa Kufa na Kila napokua mwenyewe nikawaza kifo, Huwa naogopa ,nakoswa nguvu, natetemeka nakua na majonzi sanaaa ,mawazo hunijaaa mnooo, nikiwaza Hatima yangu ipi, kwann naishi nakupambana kutafuta Maisha ambayo nayaacha !!.


Nadhan ile kitu ya Kufa Mmoja Mmoja mtaa fulan kata fulan Wilaya Fulani Mkoa fulan ndio inafanya tuwe na kiburi nakujisahau.

Lkn pia Kuna Dini hizi, zingine ,inakuambia ukifa Adhabu hapo hapo unapigiwa n.k ,zingine zinakuambia Ukifa mapambano Kwa Jina la Allah unaenda paradiso Moja Kwa Moja .

Daaahhh .
 
Kama ambacho kabla hujazaliwa ulikuwa hujui chochote hivyo hivyo baada ya kifo utalala kimya pasi na kujua chochote !!

Biblia inatufundisha kwamba lipo tumaini baada ya kifo lkn inatufundisha kwamba jinsi anavyokufa mnyama Ndivyo binadamu Hana tofauti,atakufa hivyo hvyo,..Baada ya kifo ni hukumu siku ya mwisho lkn wafu walio kaburini hawajui chochote wala hawasikii maumivu!! Wamelala kimya
Sounds kama sda .mafundisho yao..
 
Hivi tukifa tunaenda kupumzika au ni adhabu/moto??

Maana hakuna aliyeenda akarudi
Mungu ni mwenye huruma,hawezi kumchoma moto binadamu aliyemuumba kwa mfano wake kisa dhambi alizotenda hapa duniani.binafsi huwa naamini malipo ya dhambi huwa ni hapa hapa duniani.
 
Hivi tukifa tunaenda kupumzika au ni adhabu/moto??

Maana hakuna aliyeenda akarudi
Ukifa unangoja ufufuo ili uhesabiwe mema na mabaya yako,mabaya yakizidi mema Basi makazi motoni,hakuna maisha yanayoendelea kaburini,hii ni kwa mujibu wa quran
 
Inasikitisha sana mkuu yote tunayofanya na wale tunaowapenda tunawaacha hapahapa na hatutaonana nao tena kamwe. Tupo kama maroboti tu hapa duniani tumeletwa kufanya tu ya yule aliyetutengeneza. Ila sisi si kitu
Huna sababu ya kuumiza kichwa kuhusu kifo ni jambo ambalo haitatokea ulijue, watakaojua umekufa ni wale watakaokua wanasubiri kifo ambacho nao hawatakijua.
 
Kifo hakizoeleki , Jana nime certify death ya Dogo mpaka Machozi yakawa yananitoka.


Kiukweli hata Mimi naogopa Kufa na Kila napokua mwenyewe nikawaza kifo, Huwa naogopa ,nakoswa nguvu, natetemeka nakua na majonzi sanaaa ,mawazo hunijaaa mnooo, nikiwaza Hatima yangu ipi, kwann naishi nakupambana kutafuta Maisha ambayo nayaacha !!.


Nadhan ile kitu ya Kufa Mmoja Mmoja mtaa fulan kata fulan Wilaya Fulani Mkoa fulan ndio inafanya tuwe na kiburi nakujisahau.

Lkn pia Kuna Dini hizi, zingine ,inakuambia ukifa Adhabu hapo hapo unapigiwa n.k ,zingine zinakuambia Ukifa mapambano Kwa Jina la Allah unaenda paradiso Moja Kwa Moja .

Daaahhh .
Mkuu hizi dini zinatupa faraja pale tunapo pata hofu ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifa unangoja ufufuo ili uhesabiwe mema na mabaya yako,mabaya yakizidi mema Basi makazi motoni,hakuna maisha yanayoendelea kaburini,hii ni kwa mujibu wa quran
Kwa dhana hii upo sahihi maana hata biblia imeandika walio chini ya Sheria(wale waifuatao Sheria/torati) watahukumiwa Kwa kutumia torati..Yesu aliwahi kusema "yupo mtu atakayewahukumu, naye ni Musa

Ila kuna Sisi ambao hatupo chini ya Sheria Bali tupo chini ya neema,yaani tinaokolewa Kwa neema na si Kwa kujitahidi kutenda mema,Kwa njia ya Imani (Kwa kuamini sina dhambi ninaokolewa)

Siku moja MUNGU alisema "nilitaka nighaili Kama nilimuumba binadamu,namfutilia mbali Kwa sababu sikunzote anawaza mabaya tu" lakini Nuhu akapata "neema" machoni pa bwana .. soma Mwanzo 6:1-8
 
Back
Top Bottom