Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,868
Hizi za mateso ya kaburini ni porojo tu nkamu. Biblia mbona ipo wazi katika jambo hili kwamba wafu hawajui cho chote na wanasubiri kurudi kwa Yesu mara ya pili?si bora uliwe na mafunza nkamu, mimi kinachoniogopesha kuwa ukiwa kaburini unaanza kutishwa sijui mavitu gani yanakuja hapo sasa ndo naishia kutetemeka.
Nkamu Watanzania unadhani hizi Will za uzikwe wapi na uzikweje wanafuata basi?? utasikia aliekufa kafa tuendelee na mazishi
Hivi Tanzania kuna funeral homes zinazotoa huduma ya cremation? Ndugu zako wanakupeleka huko halafu wanarudi na kimkebe tu cha majivu basi....
Na hiyo avatar nkamu haiendani na wewe kabisa yaani...😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️