Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

Naona Ramaphosa ameeleza umuhimu na mchango wa Tanzania na Baba wa Taifa JKN katika ukombozi wa Africa na RSA...
 
MC anaipa Tanzania heshima yake na mchango wa Nyerere na anasema ni kwa mchango wa Tanzania kwenye changamoto za ukombozi wa SA ndio maana wamempa nafasi Kikwete kuongea.
 
mzee wa kuishi airport anaongea kwa niaba ya watanzania kwa kidhungu..
 
Kenyatta ,Museveni na Kagame wanatamani ardhi ipasuke poleni Icc criminals
 
Kikwete anazungumza, Msiba wenu ni msiba wetu.... Kupoteza kwenu ni kupoteza kwetu
 
Back
Top Bottom