Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

JK anamtambulisha Mama Nyerere kuwa kaambatana naye kwenda katika sherehe ya mazishi...watu wanapiga makofi
 
JK sasa anahutubia ulimwengu baada ya ya jirani yetu Joyce Banda kuhutubia.Before that MC kasifia uhusiano wa Tanzania na SA since the struggle for independence.
 
Pale alipo ad-lib kuhusu Maria Nyerere kachemka kwenye grammar.
 
'1962 mandela came to DSM to seek armed assistance from mwalimu' JK
 
Dah Makofi yapo yapo. Naona anaipeperusha vizuri bendera yetu. Hapa lazima apate angalau medali ya shaba.
 
Kenyatta ,Museveni na Kagame wanatamani ardhi ipasuke poleni Icc criminals
 
Kutokua na elimu kubaya sana, mama wa taifa nyerere angekua anajiweza hata kwa lugha tu angepewa nafasi ya kuhutubia leo
 
anachanganya na american pronunciation humo humo,keenda sana marekani na kukutana na akina cutis jakson kumeharibu llugha ya rais
 
'Tz was generous enough to give cadres of liberations travel documents' JK
 
anacheka msibani kama kawaida yake baada ya kupigiwa makifi,he is emotionless unlike banda..great speech though
 
JK naona anaifagilia Tanzania namna ilivyotoa hati za kusafiria kwa wapigania uhuru.

Anaweka utani kidogo kwa kusema hana uhakika kama Thabo(Mbeki) alirudisha passport ya Tanzania enzi za uhuru...watu wanacheka
 
Anawakumbusha jukumu la Tanzania katika kupigania uhuru wa Afrika ya Kusini.... Anazungumzia kwa undani hatua na jukumu lililochukuliwa na Tanzania ikiwemo kujitoa kiuchumi, kiutu, kijeshi na hata kiufundi kwa vyama vyote vilivyokuwa vikipigania uhuru Kusini mwa Afrika ikiwemo SWAPO, ANC na Frelimo....Raia wa nchi hizi waliweza kutumia hati za kusafiria za Tanzania ili waweze kushirki katika harakati zao.... Mandela alipokuja Tanzania hakuwa na passport, na alipaswa kwenda nchi nyingi kushughulikia maswala ya nchi yake.... na Madiba alipewa passport ya Tanzania...Anamtania Tabu Mbeki kuwa hana uhakika kama alirudisha ya kwake (passport)...
 
Back
Top Bottom