IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,805
- 7,258
Tafuteni kipa wa kueleweka aseee tafuteni hata deiwaka ila sio Onana Jumapili otherwise mtadhalilika sana
Kwa beki ya lindelof na evansTafuteni kipa wa kueleweka aseee tafuteni hata deiwaka ila sio Onana Jumapili otherwise mtadhalilika sana
ata wakimkodisha yule wa shaolin soccer hataweza kuwasaidiaTypical Nyumbu
Hehehe...Kwa beki ya lindelof na evansata wakimkodisha yule wa shaolin soccer hataweza kuwasaidia
EPL??Bora kombe libebwe na arsenal au liverpool
Potelea mbali bora tu City aendelee kubeba kombe hata kama Epl itaonekana ni farmers league, ikishindikana kabisa ni bora Liverpool achukue lakini sio Arsenyau.Bora kombe libebwe na arsenal au liverpool



Huyo Arsenal sio wakumpa kombe, tutakua hatujambi wala hatupumui.Bora kombe libebwe na arsenal au liverpool
Mid-table coachNampenda sana kocha wa atletico Bilbao Ernest valverde
Km Eric ataondoka ningependa asajiliwe bwana valverde
Acha utani mangi, bora city alibebe tenaBora kombe libebwe na arsenal au liverpool
Kabisa ngoshaHuyo Arsenal sio wakumpa kombe, tutakua hatujambi wala hatupumui.
Nibora achukue jirani tu, maana yeye hana sumu huku mtaani.
Umetuchanganya ka Livakuku mkuu. Mbona sisi watu simple tena peace sana?Huyo Arsenal sio wakumpa kombe, tutakua hatujambi wala hatupumui.
Nibora achukue jirani tu, maana yeye hana sumu huku mtaani.