ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,690
- 24,727
Amad hamna kitu paleOmar forson yupo mbele ya amad.
Kipara katika ubora wake
Amad hamna kitu paleOmar forson yupo mbele ya amad.
Kipara katika ubora wake
Wachezaji ndio wepesiKocha wetu ni mwepesi sana.
Tukishinda tunasongea top 6
Tupate uwiano, kila mtu apendekeze wachezaji wanne (4) wakuachwa na (5) wa kusajiliwa ili tuwe bora
WAKUACHWA
1. Maguire
2. Malacia (loan)
3. Ericksen
4. Martial
WAKUSAJILIWA
1. Todibo
2. Braithwaite
3. Benjamin Sesko
4. Federico Chiesa
5. Barela
Maoni binafsi
Leao kwa stats hamfikii Rashford kwa kila kitu, ila uchezaji wao uwanjani, uchoyo na uzembe wa kutembea tembea uwanjani wote wale wale tu.Come on Leao is much better than rashford
Man United haina beki mbovu ila inacheza kwa mfumo mbovu.El cholo kocha wa A.madrid anakuambia huwezi kushinda ubingwa wa ligi km una beki mbovu
Nikiangalia beki ya manchester united inakatisha tamaa bado
Vibonde waoHalf time:
Al hilal 2 - al nassr 0
KabsaIle nafasi kutoka inahitajika nguvu ya ziada