Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Arsenal wanaturoga mnoGundu la wana Arsenal linamwandama kijana wetu.
Arsenal wanaturoga mnoGundu la wana Arsenal linamwandama kijana wetu.
Gundu la wana Arsenal linamwandama kijana wetu.
Kuna watu walisema kwakuwa Højlund alifunga magoli 9 Serie A basi hataweza kuendana na kasi ya EPL.![]()
Midfield & Defence.Wazee kwa muda wa ETH aliokaaa, na jinsi team inacheza sasa
Vipi mnaamini process yake na nini akiongeze?? Ili kuleta ubora zaidi??
Ni kweli ila kijana ana potential ya kuja kuwa top striker. Nina imani angekuwa kwenye timu stable angefanya vizuri zaidi. Moja ya strength zake ni eneo la umaliziaji, tatizo nafasi za kufunga hapati nyingi kutokana na aina ya wingers alionao.Ni mapema sana kum judge hojlund
Sema jana walicheza vizuri sana Westham walicheza vizuri lakini Man United walikuwa clinical kitu ambacho kimetugharimu sana msimu huu.Midfield & Defence.
Eneo la kiungo pamepwaya sana, baada ya Xavi kuondoka Barca naona EtH ajaribu tena kumleta De Jong.
CB & RB wanahitajika sana, eneo la ulinzi ni injury moja tu timu inatetereka.
Pia, Martial akisepa anahitajika striker mwenye uwezo na uzoefu wa kutosha. Sancho naye akiuzwa pesa yake itumike kusajili RW.
Baada ya hayo yote Rashford halitendei haki eneo la LW. Timu inahitaji watu makatili sana pale mbele, timu haiwezi kupata matokeo kwa kutegemea wachezaji wanaoshindwa ku-perform consistently.
Kiujumla timu yote inahitaji maboresho: ulinzi na ufungaji limekuwa tatizo sugu. Timu haiwezi kufunga wala kulinda kile kidogo wanachokipata.
Unaona wachezaji gani watatufaa, mfano kiungo specific umetaja de jong...vp huyo striker, RB, CB, RW na LWMidfield & Defence.
Eneo la kiungo pamepwaya sana, baada ya Xavi kuondoka Barca naona EtH ajaribu tena kumleta De Jong.
CB & RB wanahitajika sana, eneo la ulinzi ni injury moja tu timu inatetereka.
Pia, Martial akisepa anahitajika striker mwenye uwezo na uzoefu wa kutosha. Sancho naye akiuzwa pesa yake itumike kusajili RW.
Baada ya hayo yote Rashford halitendei haki eneo la LW. Timu inahitaji watu makatili sana pale mbele, timu haiwezi kupata matokeo kwa kutegemea wachezaji wanaoshindwa ku-perform consistently.
Kiujumla timu yote inahitaji maboresho: ulinzi na ufungaji limekuwa tatizo sugu. Timu haiwezi kufunga wala kulinda kile kidogo wanachokipata.
Maguire zungu hanaga Baya siwezi muingiza kwenye hiliSi maguire analoga kweli? Hahaha
.Inabidi afanye maamuzi magumuWazee kwa muda wa ETH aliokaaa, na jinsi team inacheza sasa
Vipi mnaamini process yake na nini akiongeze?? Ili kuleta ubora zaidi??
Huyu mwamba tunamuhitaji sana kikosini basi tu
ETH amejitahidi kwa kiasi chake.Huyu mwamba tunamuhitaji sana kikosini basi tu
Kuna watu walisema kwakuwa Højlund alifunga magoli 9 Serie A basi hataweza kuendana na kasi ya EPL. 😂😂😂