Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mapema tu
 

Attachments

  • Screenshot_20240102_145805_Instagram.jpg
    41.7 KB · Views: 9
Nilianza kushabikia United mwaka 87 hii ya mwaka jana ni hatari sana
 
nacheki mechi ya wagonga nyundo vs seagulls.
kwa jinsi whu wnavyopigwa msako sijui walitufungaje asee arsenal
 
Nimeshangaa kuna watu wanamwona eti ana potential kubwa
Wachezaji aina ya olise ni wa mid table team hatatufikisha popote km ilivyo kwa antony

Nimeona Manchester United ipo linked up na uyu dogo
Eric ten hag akimsajili huyu nitaamini kocha hana jicho la talent I'd

Kocha alitakiwa kwenye hili dirisha atafute DM wa uhakika la sivyo tutataanza ku question uwezo wake msimu wa tatu


Mechi za crystal palace, Bournemouth, Nottingham forest alipoteza kizembe sana

Nampenda Eric kwa personality yake kwasababu imekuja kuvunja ile tox behavior kwenye dressing room ila ndani ya uwanja still nampa dought of benefits kwasababu ya wachezaji wengi waliumia msimu huu

Kusimamia dressing room nampa 9/10

Kusajili wachezaji sahihi 4/10

Playing bado 6/10

Uyo olise ni black antony
 
In Rashford we trust 💪
In Martial we trust 💪
In MacCtominy we trust 💪
In Mount we trust 💪
In Antony we trust 💪
In ETH we trust 💪
 
MOJA YA SAJILI YA KITAPELI

BVB walimuuza Kwa manjesta Kwa €85m

Sasa wanamchukua Kwa mkopo wenye kipengere Cha kumnunua au kutomnunua

Akifanya vizuri watamnunua Kwa £15m ,then baadae watakuja kuwatapeli Tena manjesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…