Nawatangazia kuanzia leo wenye mamlaka ya kuwacheka Manchester United kwenye kombe la UCL ni Liverpool, Chelsea, Nottingham forest,Aston villa na Man City basi sababu hao wanahodhi UCL lkn uchafu mwingine they are not eligible at all, hanis77 you are among of them
NARUDIA TENA KWA HERUFI KUBWA LETA HISTORY MPYA WEWE NA UCHAFU WAKO MMEBEBA UCL LINI? MAN CITY WAMEBEBA LAST SEASON NINYI TAKATAKA ZENU ZIMEBEBA LINI? KUMFUGA LENS HATA SISI TUMEWAHI WAFUNGA ROMA GOLI 7 UPO HAPO??
Magwaya amekuwa wamoto hivi karibuni lakini. Bruno naye ni hatari. Lile shuti lake jana, daaah, Manyumbu watuuzie yule mhuni aisee. Kale ka Garnacho nako si haba. Onana aliharibu ila najiuliza mbona hata Manyumbu walivyotangulia, game ilikuwa wazi mno? Kwa nini 7hag hakurejea mbinu zake za premier league za kupaki basi na kuvizia counter? Badala yake wakawa wanapishana mashambulizi, mido kuko wazi mtu anakimbia bila kukabwa utadhani mchezo wa riadha na siyo mpira. Ile game hata ingeisha 7-7 nisingeshangaa.
Manchester United hata wafungwe segerea miaka 50 arsenal hawataweza kufikia mafanikio yao kama mliweza kuchukua ubingwa bila kupoteza hata mechi Moja lkn hamkufanikiwa kufika hata FAINALI ya UCL ninyi ni useless team