Daah Yan zile zote pellistri anapaisha na kujikwaa kwaa, ndo pale unabwatuka tu angekuwa hata Messi yule wa 19 years zile walizokosa zote kamba tu...yule martial naye alitaka afanye Nini sijui, binafsi UTD ukiipelekea moto kidogo tu unawafunga kama kipa ukimlengeshea vizuri unamtoboa zote hahahah...