Ila Man Utd kwenye suala la kushikilia bomba tuna shida kubwa sana, tunaweza kuongoza hata kwa goli 3 halafu kipindi cha pili zikarudi zote.
Kila nikikumbuka ile mechi ya kwanza tuliocheza na hawa Waturuki pale Old Trafford nafsi yangu inakosa amani.
Mkuu tafuteni kipa...nawasihi sana tafuteni kipa mapema...nikifikiria ugomvi wenu wa jadi mlio nao na Liverkuku napata mawazo sana siku mtakapowatembelea pale Anfiled na hyu kipa wenu