Kama kawaida ya nyumbu, dk 20 za mwanzo unapigwa mpira mkubwa sana baada ya hapo ni vituko.
Hii atmosphere hapo Istanbul huipati uwanja wowote pale England, ndiyo maana watu wanapenda UCL. Mechi lazima iwe na machizi mpira na watoto wa mbwa wakifanya amsha-amsha.