Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila mi mwenzenu naona hii gem kama tunashinda!! Japokua huyo mwehu wetu kajichanganya kumuanzisha Cleverly nakumuacha Kagawa nje.
 
Yaani wenger na moyes wasipofukuzwa aisee wana mganga mkali sanaaaa
 
Hawa wachezaji United utazania wa JKT Ruvu . City nao wamelizika na kagoli kamoja
 
Haya ht, kuna mechi tatu leo na kila timu mwenyeji imefungwa goli moja bila.
 
Yaani wenger na moyes wasipofukuzwa aisee wana mganga mkali sanaaaa

and im praying for that shit usiku na mchana,i dont wanna see moyes akipewa mkataba msimu mwingine wa kurekebisha makosa yake.
 
Bado hajafanya kitu anatakiwa valencia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…