Asilimia 1 inatosha kufanya maajabuKama unathamini muda wako leo usijisumbue kuangalia mechi. Hakuna kitu cha maana nyumbu wanachoenda kufanya Istanbul. Na haiishii hapo tu nafasi ya kupita kwenda hatua inayofuata ni 1%.
Niliona hiyo... Tena ilikuwa mistake ya Magwaire na Onana combinedMechi ya juzi dhidi ya Everton alikuwa anaeleka kuweka mpira wavuni Mainoo akamuokoa kwenye mstari kabisa
Sawa kabisa mkuuNiliona hiyo... Tena ilikuwa mistake ya Magwaire na Onana combined
Tutashinda tuu leoKama Trashford hayupo, kwahiyo: Garnacho, Martial, Pellistri.
Ngoja tuone.
FORZA ALBION!Umeshakimbia brighton?
Fred Mbuna. Once a Red, always a Red!
bora ighairishweistanbul, Türkiye. ⏳
Huyu inatakiwa kule Instanbul Jumatano aanze.