Kikosi kizuri sana..angalao leo nitaangalia na castle light bariiidi pembeni. Lakini kwa kocha huyu doa halikosekani. ERICKSON inakuwaje anaanza???
. Last match Pelistri alifanya kazi nzuri sana tukapata lile goli. Tuombe Mungu kabla ya dakika ya 60 aingie.
View attachment 2808209