Hivi huyu anthony inakuaje anashindwa kumpita walau defender hata mmoja panapotokea situation ya 1v1?
Ubora wake kama winga unatokea wapi ilhali hata kupiga krosi pia hawezi?
Nasubiri majibu toka kwa wataalam wa mpira.

Kocha anajua hilo, nadhani muda sio mrefu jamaa atakuwa anatokea sub.
Anton
Rashford
Kwa sasa hawapaswi kuanza, wanatukaba.
Kocha atengeneze midfield na forward sababu ndio chanzo cha poor performance.
Apandishe morali ya timu.
Garnacho 11, pelistri au forson 7.