Siku mtakayostuka na kujua tatizo la timu yenu kubwa la kwanza ni kocha wenu Baba Ubaya na mkamtimua ndo siku mtakayoanza kucheza kama Man U tena sio sasahv mnacheza kama Manunu....Solskjaer alikuwa na timu ya kawaida sana ila alifanya mambo mazuri na kipara Guardiola alikuwa hamsumbui kabisa.....huwezi kunambia hawa wachezaji hawawezi ku perform wakifundishwa na mwalimu mzuri.....tafuteni kocha wa kueleweka hyu wa sasa ni tapeli
Nnachoweza kusema ETH amuombe Ole wafanye kazi pamoja na kazi ya Ole iwe kutambua wachezaji na recruitment basi,ETH afundishe.
Onana katuokoa sana. Beki zetu butu,kiungo butu,forward butu🙌🙌