Hebu tengeneza taswira ya mabeki wenu halo siku wakikutana na washambuliaji wa Bayern Munich!Dah kwa kweli beki za leo majanga hazina maelewano kabisa yaani,wanacheza tu alimradi hawa westham wakikaza kidogo tu walahi wanapata goli.
Hivi kumbe hamjarudiana nao bado?Noisy neighbours are next on the menu...
Hivi kumbe hamjarudiana nao bado?
Mna kazi...
suarez ana magoli 11 bora msimu huu
Hebu tengeneza taswira ya mabeki wenu halo siku wakikutana na washambuliaji wa Bayern Munich!
Waiting for the day...
jones na vidic central defenders beki za pembeni kama kawa rafael na evra tumemaliza.unala kuongeza??
asante kwa kazi nzuri chap. Ntakugongea like nikihamia kwa pc
Tupo pamoja chifu...timu yetu sote hii...
Hivi, wewe ndiwe umebadilisha title ya jukwaa letu?
Class act by Rooney during his post-match interview. The reporter asked about his partnership with Mata and how it seems to be becoming more influential. Rooney responded by agreeing and also made the point that credit has to given to Shinji Kagawa on how he helped strech the defence by finding spaces and linking up well with him and Mata.