Die hard Utd Fan hapa lol
Timu yetu taratibu inaanza ku perform kama UTD tuliyoizoea
Mata kifaa sio kama yule flop wa Arsenal
Naona na nyie siku hizi mnatoa dozi tuu
HT....Rooney is a star man for the 1st half.
Mata and Kagawa have been incredible...
RVProne back to where he belongs 4-6 weeks will turn to 8 weeks probably will miss the world cup. United are dead vs Bayern. No RVP, No Mata(cup-tied), soon no somebody else. This is your last CL appearance for the long time and longer may it continue. Leeds United are waiting on y'all.
Duuh sijapita kitambo humu ndani kumbe kile kilio cha wengi kwamba uzi ubadilishwe jina la Man U hatushikiki kimesikilizwa!?
Duh kweli hii Rise and Fall.
Shikamoo Mata...
Huyu jamaa akiwa anakipiga pale kati na Rooney akiwa mbele, utaipenda United...
DM anahitaji kufanya maamuzi magumu katika game dhidi ya Bayern...Rooney mbele, Kagawa namba 10...
Ambayo haishikiki ni Liverpool tu cku hizi...Man U wanapakatika kabisa. Angalia hata leo utaona.
DM inabidi awe anamchezesha Kagawa... jamaa anasaidia sana kule mbele
Kweli sometimes inabidi maamuzi magumu yachukuliwe.
Leo inaweza kuwa hat-trick of hat-tricks!Looking for an hat-trick Rooney?
2 added minutes...
Leo inaweza kuwa hat-trick of hat-tricks!
Yaya Toure and Suarez washamaliza kazi tayari...
Kusema ukweli, Kagawa ni namba 10 mzuri kuliko hata Mata, lakini Mata ni mzuri mara mia kuliko Rooney.
Hivyo basi, DM afanye maamuzi magumu ya kuwa anawabadilisha Rooney na RvP...huku pale namba 10 iwe Mata na Kagawa...
Umemwona Fellaini? Huyu jamaa toka arudi kutoka majeruhi, anacheza kama anavyopaswa kucheza...
Dah kwa kweli beki za leo majanga hazina maelewano kabisa yaani,wanacheza tu alimradi hawa westham wakikaza kidogo tu walahi wanapata goli.