adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,787
- 37,793
Hii picha umetuliza sana.Kwa hisani ya..........
View attachment 2791776
Hii picha umetuliza sana.Kwa hisani ya..........
View attachment 2791776
Yaani bila huyu mtu kusugua bench Hodjlund tutamlaumu bure yaani Rashford ni winga mchoyo na mbinafsi sijapata kuona pale OT kama Ten hag atamuendekeza atamfukuzisha kazi.Pale man amebaki Rushford kumuondoa timu ibalance
Mbona ipo wazi ratiba yao ina vidagaa Kama vinne hivi,Manyumbu wakiendelea kushinda shinda hivi wataleta shida. Nadhani ni vizuri wakianza kuchezea vichapo tena. Ikiwezekana wapigwe kama game 3 mfululizo au hata 5 halafu waambulie visare viwili vitatu na vipigo virejee
Itapendeza sana ikiwa hivyo aiseeMbona ipo wazi ratiba yao ina vidagaa Kama vinne hivi,
Cha ajabu had hivo vidagaa vinawatoa Jasho ,baada ya vidagaa wataanza kukutana na mancity , Newcastle,Bayern , Liverpool, Astonvilla , Chelsea ,
Hapo watapigwa zote
Jumamosi King Maguire atasimama pale mbele asaidiane na Højlund kutetemesha nyavu.Naona Maguire kuzaliwa upya.
Mmuanzishe mechi ya weekend dhidi ya City, ashirikiane na Evans kumzuia Haaland [emoji23]