Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,876
Nini maana ya mchambuzi?? Tuanzie hapoFor the first time,Mentor na mchambuzi mwenzangu George Ambangile ameshindwa kuichambua timu yake pendwa
Niliwahi kumwambia 7hag Ni average coach,alinibishia Sana ,now amebaki kuniona Mimi mchawi
Anasema
Anayeweza kuichambua Man United afanye hivyo tafadhali daah
*Kiukweli mm hata sioni tunatumia muundo gani ? Staili gani ya uchezaji ? Bila mpira tunatumia muundo upi kuzuia ? Labda sioni mimi peke yangu ndugu zangu naomba leo mnipe darasa hilo *
Tunashinda lakini ?? [emoji848][emoji848] : Sawa hata Mungu alisema tushukuru kwa kila jambo
Kisha na wewe cha-goat uje utuchambulie arsenal wanatumia mfumo gani na style gani of playing, miaka 100+ hakuna UCL.