Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Against Burney, Sheffield united,Brentford dhaifu,

Mnashinda kwa kubahatisha

Halafu mnawaza kuingia top 6?


 
Hawa wachezaji ma legend wa kiingereza Wanajifanyaga wajuaji Sana . Baada ya kustaafu kucheza mpira wengi wakajikuta wamekua wachambuzi wa mpira . Wakaanza kupiga Domo na majungu Kwa makocha wa timu mbalimbali . Mourinho aliwahi kusikika akiwaambia badala ya kupiga majungu Kwa makocha kwenye video waingie na wao kwenye mtanange 😂😂. Mungu si athumani hatimaye wameanza kuliona joto la jiwe .
Lampard
Neville
Steven Gerald __kakimbilia uarabuni 😂😂😂
F8_FHHoXAAAzQGN.jpeg

Shauku yangu naomba Sana Mungu siku watu Hawa PAUL scores na Rio Ferdinand wapewe nao ukocha tuone wanauchezaje mdumange maana ni wajuaji Sana 😂😂😂😂
 
David Beckham on Sir Bobby Charlton’s passing:

“It all started with Sir Bobby Sir Bobby was the reason I had the opportunity to play for Manchester United...

I will forever be grateful to him, he was someone who I admired and who was a hero to many around the world, not just in Manchester and in our country where he won the World Cup in 1966...

A true gentleman, a family man and a national hero... Today is not just a sad day for Manchester United and England, it is a sad day for football and everything that Sir Bobby stood for...

Our thoughts are with Lady Norma, her daughters and his grandchildren. Rest in peace Sir Bobby.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Dani Carvajal on the death of Sir Bobby Charlton: "The football world mourns his loss, my condolences to his family and friends. Football is mourning a legend."


[via Madrid Zone]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Wataruka ruka weee lakini ni nadra sana kutokea mchezaji akamzidi rating 𝐁𝐫𝐮𝐧𝐨 𝐅𝐞𝐫𝐧𝐚𝐧𝐝𝐞𝐬 we anza kufuatilia.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231022_123120_624.jpg
 
Some strike, 𝐃𝐢𝐨𝐠𝐨 𝐃𝐚𝐥𝐨𝐭

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231022_123637_316.jpg
 


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231022_123158_564.jpg
 
Sofyan 𝐀𝐦𝐫𝐚𝐛𝐚𝐭’𝐬 game by numbers vs. 𝐒𝐡𝐞𝐟𝐟𝐢𝐞𝐥𝐝 𝐔𝐧𝐢𝐭𝐞𝐝:

84% pass accuracy
79 touches
53/63 passes completed
9/9 duels won
6/6 ground duels won
5/5 tackles won
4/4 long balls completed
3/3 aerial duels won
3 ball recoveries

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐫𝐨𝐥𝐥𝐞𝐫.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Harry 𝐌𝐚𝐠𝐮𝐢𝐫𝐞 for #MUFC vs Sheffield Utd :

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231022_123153_946.jpg
 
𝐓𝐞𝐧 𝐇𝐚𝐠: "We are happy with the win. Find a way to win. Often after the international break, players flying out with their national teams, to find a rhythm again can take time."

𝐓𝐞𝐧 𝐇𝐚𝐠 on Harry 𝐌𝐚𝐠𝐮𝐢𝐫𝐞: "I think it [Man of the Match] was deserved. He played a really good game, and read the game very well. I am pleased for him."

𝐄𝐫𝐢𝐤 ten 𝐇𝐚𝐠: “Happy with the win, we find a way to win. The first half was not the best from our team.”

𝐄𝐫𝐢𝐤 ten 𝐇𝐚𝐠: “We knew before that this would be a tough game. In the end we needed a great goal to get the win.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Yule Hojlund na genge lake pale mbele ni sawa na 0 kabisa.

Team inaokolewa na wachezaji kutoka eneo jingine

January tujaribu kumchukua osmhen
 
Yule Hojlund na genge lake pale mbele ni sawa na 0 kabisa.

Team inaokolewa na wachezaji kutoka eneo jingine

January tujaribu kumchukua osmhen
Mkuu huyu Hojlund huwa unamfatilia akiwa na NT pia? Kiwango chake kwa team yake ya Taifa ndio kingine kinachonionyesha ni kwa kiasi gani team yetu ni mbovu kupindukia.
 
Ninyi pimbi mkikutana na sisi mtachapika na mtachakaa vibaya sana , labda msiingize timu lenu bovu hilo uwanjani
 
Wataruka ruka weee lakini ni nadra sana kutokea mchezaji akamzidi rating 𝐁𝐫𝐮𝐧𝐨 𝐅𝐞𝐫𝐧𝐚𝐧𝐝𝐞𝐬 we anza kufuatilia.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2789034
Bruno ana ndoa ya maisha na united,tatizo united inamsaliti kila mechi,kila siku na kila msimu.
The magnifico
 
Nguru hiyo anaitoa wapi huyo sir Jim? 25% of shares? Wahuni wamarekani wanabaki na %? ya shares?
 
Back
Top Bottom