Shaffihsiraji
Senior Member
- Dec 15, 2018
- 160
- 120
Timu wachezaji hawakabi hawa pres yani ipo ipo tu SHU wanaonekana ndo wanacheza mpira kuliko Man U pumbav kabisa
Munaunga unga sana mutaiweza chelsea kweli?
we tuache aseeKwa uu mpira mnaopigiwa na shelffed united aise mukikutana na mikiki mikiki ya Mudrik na Malo Gusto munachezea mapema ukuni mutakatifuChelsea ipi hiyo hii hii ya leo au kuna nyinginewe tuache asee
Wanajifanya wabishi...Kwa uu mpira mnaopigiwa na shelffed united aise mukikutana na mikiki mikiki ya Mudrik na Malo Gusto munachezea mapema ukuni mutakatifu

Hawa jamaa wanabahatisha aiseeHizi promoted teams dawa yao ni kuzigonga goli kuanzia 4 kwenda mbele.
Ngoja tuwaonyeshe namna ya kuwaogonga hawa Sheffield jumamosi ijayo wakija Emirates..