Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™
#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Game iliisha kabla hata ya kuanzaπŸ₯Ά
IMG_8222.jpeg
 
Nawakumbusha tu "Wanangu wa Man U" hata bid ya Saudi Arabia kwa Newcastle ilikataliwa na ikaripotiwa na vyanzo vikubwa vya habari kama SkySports kuwa Saudia wamejitoa ila mwisho wa siku Mwarabu akapewa timu.

Mwarabu anachukua timu, ni suala la muda tu.
 
Wewe unaota Tena mchana kweupe

Leo Sir Jim alikuwa na kikao na bodi ya manjesta yenye watu 12 , wameshampitisha kuchukua timu

Zimebaki small details mpaka next week ,Sir Jim atatangazwa rasmi ,na atakuwa na nguvu upande wa sporting

Pia taratibu atakuwa anauziwa hisa hadi zifike 100%

Motto wa Sir Jim

"Tuirudishe manjesta kwa Wana manjesta"
 
Kwaheri sheikh ubwabwa Jasim,

Manjesta ina wenyewe na wenyewe kina Sir Jim

Sources close to Sheikh Jassim say there is "no chance" he will return to the negotiating table.

[@MikeKeegan_DM]
 
Casemiro ndiyo kiungo mbovu namba 6 kuliko wote katika zile big 6

20231019_154148.jpg
 
Hatujafika hata GW10 tayari mmeshaanza kuhamia kushabikia Mamacita ,wengine mmeheuka wapiga ramli

fuentte huyu amekuwa na uchungu Sana , Jumamos Sheffield wanataka sare tu
 
Back
Top Bottom