Han Kyul
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 264
- 529
Hili la training facilities ndio linaniuma sana hasa baada ya kinda wetu tuliyemuuza Charlie Savage last week kusema kwamba training facilities za Reading ni bora kuliko za United.Ni sheikh pekee alikua na good intentions na hii klabu basi yan mtu Katoa £5B na ahadi ya kulipa deni lote la nyumbu, kurekebisha uwanja na training facilities etc
Japo ni ukweli ila ni dharau sana kufananishwa na timu ya Championship.
Mimi hawa wazee wakirekebisha hizo sehemu sitakuwa na noma sekta nyingine tutavumiliana.


| 𝐒𝐡𝐞𝐢𝐤𝐡 𝐉𝐚𝐬𝐬𝐢𝐦 believes he would have been the dream owner for 𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐧𝐢𝐭𝐞𝐝.
Investment package was worth more than $8B. 







