Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maoni ya mchambuzi nguli

7hag ametapanya €70m kwa GK na backup GK,

Kamnunua onana kwa €55m ,then akamuachia Kovar kwa €5m Kisha akamnunua mcheza filamu wa kituruki kwa €15m Kama backup GK,wakati ana kipa mwingine Heaton mwenye uwezo mzuri tu pengine kuliko Onana ,

Kulikuwa na haja gani kutapanya €70m yote kwa eneo la GK ambapo lingeweza kusoviwa na pesa nyingine ikanunua CB.


Mchambuzi nguli niliwahi kuhoji matumizi ya €70m kwa mchezaji Kama Casemiro mwenye umri 30+yrs ,now ndani ya mwaka mmoja hawezi tena kukimbia , mechi vs Brentford alitaka kufia uwanjani ikabidi kipindi Cha pili asiendelee

Perezi alichukua €70m aliyowatapeli manjesta na 7hag akaongezea €10m tu akamnunua Aurelien Tchoumen mwenye miaka 21 atakayemtumia kwa miaka 10+.

Kimahesabu ,Perezi alimnunua Tchoumen kwa €10m tu .


Nakwenda Zangu ,Ni Mimi mchambuzi nguli mwenye beji ya FIFA daraja A niliyoipata Zurich Uswis mwaka 2019 .
 
CEO wa Intermilan Marrota akitamba kuhusu kuwatapeli manjesta


Anasema

it was great chapter for Onana and for us. It was also successfull deal to sign him for free and sell for that money”

told Gazzetta.

UTAPELI HAUTAKUJA KUISHA DUNIANI

Nakwenda Zangu, mniombee
 
Louis van Gaal will recommend Mitchell van der Gaag to Ajax if the club part ways with Maurice Steijn.

Ajax are, however, aware that he is important in Erik ten Hag's staff and that it could be difficult to snatch him from the club.
 
Screenshot_20231014-200644_Chrome.jpg
 
Louis van Gaal will recommend Mitchell van der Gaag to Ajax if the club part ways with Maurice Steijn.

Ajax are, however, aware that he is important in Erik ten Hag's staff and that it could be difficult to snatch him from the club.
Kuondoka kwa Rui Faria kuliathiri sana utendaji kazi wa Jose Mourimho,

Ferguson pia aliondokewa na msaidizi wake Steve McClaren mwaka 2001 hali iliyopelekea kutetereka kidogo kwa Man United hadi Ferguson alitangaza kustaafu mwisho wa msimu

Je kuondoka kwa Mitchel Van Der Gaag itamwacha salama Ten Hag ?
 
Ferguson pia aliondokewa na msaidizi wake Steve McClaren mwaka 2001 hali iliyopelekea kutetereka kidogo kwa Man United hadi Ferguson alitangaza kustaafu mwisho wa msimu
Kwangu carlos Queroz ndie mwanadamu aliyekuja kutuonyesha sura nyengine ya Sir Alex, nimemkumbuka assistant walter smith (RIP)
 
Sir Jim alikuwa hana kelele Wala wapambe,mwisho ndio anaenda kushinda zabuni

Ni mzawa pia ana uchungu na man u

Atamtimua ETH na kujenga timu yakueleweka

Karibu Sana Sir Jim ,kwenye maisha usipe kelele acha muda uongee
20231014_203617.jpg
 
Sir Jim hakuwa na kelele Wala mbwembwe Wala wapambe

Muarabu ametumia media za kila aina ,majarida makubwa kwa madogo kupiga kampeni na kuwapa presha Grazzer family

Katumia media kumchafua Sir Jim aonekane si lolote si chochote ,


Hadi humu Jf ziliibuka ID nyingi za kumpigia kampeni Sheikh Jasim ,


Sasa mzawa Sir Jim ,mwenye uchungu na man u anaenda kupewa timu kwa 25%,

Sir Jim Ni mzawa anajua matatizo ya manjesta ,
 
Glazers wangese sana. Ikiwezekana Old Trafford isichezwe mechi yoyote inayofuata, maandamano yaanze.
Tatizo mishabiki Ni misenge Sana manina kila siku inapiga kelele glazer out Ila uwanjani inajaa ndo unajua hii Ni mikondoo *****.

Dawa ya glazer hawa mabwanyenye ni kuto kwenda kuangalia mechi tu pumbafu kabisa.

Poor glazer
 
Back
Top Bottom