Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa huu upumbavu wa wamiliki wa Glazer's kuwanyima watu muhimu kabisa walikoua na nia ya kuifufua hii club nakuirudisha kwenye ubora wake.

Nakwa hivi vipigo mfululizo huku timu ikiwa na wachezaji wengi mizigo, niseme tu ctaendelea kujiangaisha na hili li club kabisa.
 
We Stand With Sir Jim Ratcliffe

Hatuhitaji Wageni (Sheikh Jassim) bali tunahitaji Mzalendo (Sir Jim) ndiyo apewe Timu.
 
Yani sir Jim Katoa paundi bilion 1.3 Kwa Kununua asilimia 25 ya hisa.


Halafu mtu anataka kutoa Dola bilion 8 huku akiahidi kufuta deni la Dola milion 500 , kujenga uwanja na facilities zote ila kabaniwa.



Hii team ni ya kipumbavu saaaana.


RIP Manchester united (1898-2023)

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app

Pia usisahau hiyo ni hatua ya mwanzo tu kuelekea Timu kuuziwa yeye yote.

Yani jiandaeni kisaikolojia Timu kujazwa Wachezaji wabovu wa Kiengereza.
 
Muengereza na Mmarekani hajawahi kuwa na mipango ya kula hasara.
Waombe tu asije akabeba sera za Tajiri wa Liverpool za Sell to Buy.
Ndio mpango unaokuja huo chini ya DOF Paul Mitchell.

Kama tumeshindwa kutoboa wakati tunaspend now mambo yatakuwa magumu
 
Ni sheikh pekee alikua na good intentions na hii klabu basi yan mtu Katoa £5B na ahadi ya kulipa deni lote la nyumbu, kurekebisha uwanja na training facilities etc
Hili la training facilities ndio linaniuma sana hasa baada ya kinda wetu tuliyemuuza Charlie Savage last week kusema kwamba training facilities za Reading ni bora kuliko za United.

Japo ni ukweli ila ni dharau sana kufananishwa na timu ya Championship.

Mimi hawa wazee wakirekebisha hizo sehemu sitakuwa na noma sekta nyingine tutavumiliana.
 
Yani sir Jim Katoa paundi bilion 1.3 Kwa Kununua asilimia 25 ya hisa.


Halafu mtu anataka kutoa Dola bilion 8 huku akiahidi kufuta deni la Dola milion 500 , kujenga uwanja na facilities zote ila kabaniwa.



Hii team ni ya kipumbavu saaaana.


RIP Manchester united (1898-2023)

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa Mkuu ni mambo ya kisenge sana nayanaumiza mno,mpaka unajiuliza Kuna Faida gan! Ya kupeteza mda wako kufatilia hii club ya kipumbavu.
 
[emoji599][emoji599][emoji281]| 𝐒𝐡𝐞𝐢𝐤𝐡 𝐉𝐚𝐬𝐬𝐢𝐦 believes he would have been the dream owner for 𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐧𝐢𝐭𝐞𝐝.

Fully cash bid, clearing all old debt, with zero new debt, for 100% of the club.

He is the only bidder who has offered to buy 100% of Manchester United.

[emoji1203] Investment package was worth more than $8B.


[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20231015_134348_116.jpg
 
Back
Top Bottom