Namuheshimu Sana mkuu ,ukweli hamna kochaTunacheza vibaya sana, situation mfano wa hii itakuwa ni mara ya 100 kuishuhudia.
Mara nyingi huondoka na kichwa cha kocha mkuu.
Amrabat sio mkabaji, ni msindikizaji.. Mara mia Casemiro huchukua maamuzi magumu ya kula umeme!😂Tuliambiwa tusubirie combination ya Casemiro na Amrabati
Brentford wanajipitia hapo katikati bila shida
Rashford kafanya uchoyo wa wazi pale kama kawaida yake.
Ndio maana watu wanataka uongozi utokeTunacheza vibaya sana, situation mfano wa hii itakuwa ni mara ya 100 kuishuhudia.
Mara nyingi huondoka na kichwa cha kocha mkuu.
Wana kipengele cha kumnunua kwa lazima. Walifanya hivyo kwa sababu ya ishu ya FFP.Jambo la kushukuru Mungu amrabat amekuja kwa mkopo
Omama hakuna kipa mule
Angaia gape juu Hadi kwa kipa.#BRINGBACKDEGEA
Aaaah[emoji38] hakika dunia ilikuwa na hamu kubwa sana kuwaona mabingwa Mara 13 na vijana wa bwanyenye glazer barobaro boys kugawa burudani kabambe leo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Manchester United 3 vs Brentford 1
[emoji355]11.00 jioni
[emoji2522] Old Trafford
Manchester United tunayoijua ndo inaanza ligi leo sasa[emoji847]
Haters wote muanze kujificha kuanzia sasa mama mtakosa Cha kuongea
Aaaaaah itakuwa ni raha tupu wakubwa [emoji16]
View attachment 2774168
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuliambiwa tusubirie combination ya Casemiro na Amrabati
Brentford wanajipitia hapo katikati bila shida
Dah jamaa ana maisha magumu saanaBasi kafungwa Onana lawama zote zitaenda kwa Maguire dah![emoji23][emoji23][emoji23]
Combination Kwa ratio hii sio mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mchezaji wa kawaida ,wewe mchezaji ana miaka 27 kaonekana world cup mechi 3 , unampapalikiaAmrabat sio mkabaji, ni msindikizaji.. Mara mia Casemiro huchukua maamuzi magumu ya kula umeme![emoji23]
Mkuu jamaa wanamuona fergie ndani yake.pliz watie moyoNasikitika Sana maana 7hag anaenda kuliwa kichwa
Napenda abaki awapeleke nafasi za 12-15 huko
Huyu kocha nilimkataa toka mwaka Jana ,ule ushindi wa papatupapatu nilikuwa najua Ni wa muda mfupi tu ila kiuwezo hamfikii hata Ole gunar sosha