Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,351
- 2,786
Cha goat la arsenalMalizia mwenye beji ya FIFA kutoka Zurich Uswis
ETH ni Bora kuliko tapeli arteta, km unabisha njoo na hoja nikupe hoja
Cha goat la arsenalMalizia mwenye beji ya FIFA kutoka Zurich Uswis
Alifungwa goli 12 katika mechi tatu tu za mwanzo za LigiDe gea pamoja na ubovu wote wa man utd lakini last season yeye ndo alikuwa kipa mwenye clean sheet nyingi.
Inabidi mtafute kocha akaongee na mashetani mule ndanihata zidane anaweza kuongea nao akishindwa mwingine baasi arudi ole guna.















| #mufc sources said that measures are in place for every European game to 'minimise the risk of infiltration by away fans into home areas, including a prohibition on ticket sales to anyone with a Turkish address'.






David de gea kafungwa magoli 100 ndani ya misimu miwili iliopitaAlifungwa goli 12 katika mechi tatu tu za mwanzo za Ligi
Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Højlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A. 😂Hojlund msimu uliopita kacheza dk 1834 ktk mechi 32 za Serie A. Maana yake hakucheza dk 1046 kutimiza mechi 32 zenye dk 90 mechi nyingi alianzia sub.
Ana 13 G/A ktk mechi 20 (1834 mins) kwa mchezaji wa miaka 20 ni stats nzuri.
Overall 2022/23 ana 24 G/A.
Hii habari sio nzuri kwa hamis77Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Højlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A. 😂
Sasa hivi Højlund ndiyo UEFA Champions League Top Scorer & 2024 UEFA EURO Qualifying Top Goal-Scorers.
𝐑𝐚𝐬𝐦𝐮𝐬 𝐇ø𝐣𝐥𝐮𝐧𝐝 nominated for UCL Player of The Week. 








Pep Guardiola has overtaken Alex Ferguson in most UCL wins ranking…
109 — Carlo Ancelotti 
𝟏𝟎𝟑 — 𝐏𝐞𝐩 𝐆𝐮𝐚𝐫𝐝𝐢𝐨𝐥𝐚
102 — 𝐒𝐢𝐫 𝐀𝐥𝐞𝐱 𝐅𝐞𝐫𝐠𝐮𝐬𝐨𝐧
82 — Arsene Wenger 
77 — José Mourinho 







Kama kawaida kuna wachambuzi wa mchongo walileta stats kuwa Højlund alicheza mechi 32 akafunga magoli 9 Serie A.
Sasa hivi Højlund ndiyo UEFA Champions League Top Scorer & 2024 UEFA EURO Qualifying Top Goal-Scorers.


Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi Mc Masingeli njoo umuone Le super stricker Rasmus Winther Højlund kwenye list ya nominations player of the week.